Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

Itakua kashatembea wahuni wana malalamiko ya kuua kabisa bora wakuroge..
 
Hizi ndo mada mpendazo chadema, sasa mbona alitemfunga anadunda mtaani hafi anakuja kufa aliyemsukuma?
Ujinga kwenu n jambo la kawaida sana

Umeambiwa muda wake unakuja. Acha kushupaza shingo
 
Majina yake yalipatikana siku hiyo hiyo, akaunti zake za social media,majina ya mtoto wake wa kike na picha zake, namba zake za simu.
 
Umeona wapi Afisa mwenye Cheo cha SP (Mrakibu wa Magereza) kusindikiza Mahabuzu Mahakamani.
Afisa wa Juu kabisa unayaweza kumuona hapo ni Mrakibu Msaidizi wa Nagereza (ASP), Nyota tatu begani.

Umebdik Uharo
 
wewe ndo hujui na kwao ni huko huko singida kazishazikwa
 
Majina yake yalipatikana siku hiyo hiyo, akaunti zake za social media,majina ya mtoto wake wa kike na picha zake, namba zake za simu.
Nimemaanisha angesema mtu fulani bin fulani kafa siku fulani, kazikwa siku fulani na kazikwa kwao hapa tena kwa uthibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…