Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
" NCHI YETU NI TAJIRI HATUBABAISHWI "
 
Waulize viongozi wenu wa ccm maana wameongoza nchi takribani miaka 55
Hizo biashara zilikuwa kichekesho kodi ilikuwa hawalipi, bingwa wa kutengeneza mahesabu bandia, the weakest must die and the stronger will survive. Kama biashara zilikuwa zinalipa kodi kiasi hicho kwa nn tuliendelea kusaidiwa na wahisani?
 
Ni rahisi sana mkiacha kuwaomba misaada hawatawasumbua tena
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wizara ya afya ina bajeti kubwaaaaa, hata gap lao halitaonekana, wewe kata nhif tu usiogope huduma zinaendelea
 
Twambie basi maana yake wewe MD au CEO wa hilo shirika
KFW unajua maana yake? Wanapataje pesa za misaada?

Achaupotoshaji.

Nafanya na KFW miradi ya maji.
 
Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Taratibu tafadhali. Je mlipa kodi nae akiacha kulipa kodi utafanyaje? Ni vyema husara ikatumika kwani tunawahitaji wafadhili, wahisani, EU, n.k. kama tunavyomhitaji 'mlipakodi.
 

Hata Nyerere alishupaza shingo hivi hivi, kilichoyokea tulivaa viraka. Kwa sasa kauli za ujeuri zinaruhusiwa, lakini muda ni mwalimu mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…