Hili linahitaji barua? Wacha aibu zako. Sio wewe uliishangilia sana kauli ya raisi kwamba tufyetue tu watoto?Weka barua hapa inayoonyesha rais katoa agizo wizara ya afya kuwa tanzania haitaki uzazi wa mpango
mie nahisi tutafute mpango wa kustopisha hii hali,Tanzania ingekua kwenye uchumi wa kati tungewaacha waende ,ila bajeti yetu I was told inategemea misaada 40%..sasa hapa itakuwaje kila mtu akiondoka,....watanzania tuache ujeuri wa kijinga,watu watakufa kama kuku waliopatwa kideri...tusaidiane mawazo
Kuna rafiki mzuri hana maneno manenoNa ajira watapata wapi!?View attachment 974693
Huyu naye ni Yohana Maalcohol wa huko somalia,Mabichwa makubwa akili kiduchuKuna rafiki mzuri hana maneno manenoView attachment 974704
Vipi kuhusu hoja nyingine 14 zilizobakia maana zilikuwa ni 15
Humsikii jinsi anavyowabeza kila siku na kusema tunaweza kuendesha mambo yetu wenyewe?Kwa nini wanajitoa?
Serikali iqngalie namna ya kuzungumza na hawa jamaa.
Bado hatujawa na uwezo wa kuendesha mambo yetu wenyewe bila misaada yao. Huo ndio ukweli.
Matamko ya majukwaani ya kisiasa hayana uhalisia na maisha yetu huku mtaani.
Tuzungumze na wahisani na wadau wa maendeleo, tuwe na kauli nzuri. Hata wao ni binadam, haiwezekani wanatusaidia ila sisi kila siku ni kuwananga tu.
Hii sio njema kwetu.
Utakuwa kinda wewe hujui usemalo! Enzi za mbinyo kipindi cha Nyerere disposables zilikuwa zinaoshwa na kuwekwa kabatini, kulikuwa na uhaba Hata wa chumvi, Mzee akaamua kung'atuka!Waache waende kufirana hatutaki na demokrasia sio lazima iwe hiyo wanayitulazimisha wao ya kulea vibaraka wao watuvuruge na wasisahau tz ni nchi huru sio mkoa wa yuropian yuniyoni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepica magoti ukiombaomba kusaidiwa kumtibia mwanao na mkeo
Utakuwa kinda wewe hujui usemalo! Enzi za mbinyo kipindi cha Nyerere disposables zilikuwa zinaoshwa na kuwekwa kabatini, kulikuwa na uhaba Hata wa chumvi, Mzee akaamua kung'atuka!
Unaongea usiyoyajua na ushabiki maandazi huo!
Ameiba au walikubaliana... Muwe na akili kidogo basi.Mtu anakusaidia halafu anakuibia kisilence ukimwambia hapana kuniibia eti anajikasirisha! Sasa hapo hujang'amua tu?!
Mijitu sijui ata ina akili gani haimtazami Mtanzania wa chini kama anahitaji hiyo misaada kuliko kawaida mladi imepewa tu buku 7 ya kutetea ujinga.kuna wapumbavu wanakejili hiyo misaada, ngoja iondoke ili watu wapate akili. maana upumbavu wa watanzania hauvumiliki, rais na familia yake hata wakienda kutibiwa muhimbili watalazwa VIP na kupewa huduma zote, wewe mwimba mapambio ya kumsifu utafia kitandani hata panadol hutapata.
Maelfu walioajiriwa kupitia miradi inayofadhiliwa na USAID, GF, CDC, JICA etc.... Ufadhili huu ukikoma ghafla hakika familia nyingi sana zitayumba.Waondoke tukaze mkanda, vya bure vinaua wanaboa sana na misaada yao
Hahahaaa kuwika kama mbwa 😂 akili zitasogeleana tu mkuu pale zitakapoletwa namba kutoka Mars tuzisome...kubweka kama jogoo
mawaziri wa CCM ndo wameruhusu wizi kupitia mikataba waliosaini...acheni kudanganya watuMtu anakusaidia halafu anakuibia kisilence ukimwambia hapana kuniibia eti anajikasirisha! Sasa hapo hujang'amua tu?!