EU yaisifu TANZANIA kuwa kielelezo cha amani na kuitakia uchaguzi huru na wa Haki

Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania

Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki, huku ukiitakia nchi hiyo mchakato wa uchaguzi mkuu ujao uwe wa haki na wa amani, ili kuimarisha demokrasia na ukuaji wa uchumi.

Bw. Constantinos Kombos, Mwakilishi Rasmi wa Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera za Usalama, alieleza kuthamini kwa EU mafanikio ya Tanzania katika kudumisha amani na utulivu wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Bw. Kombos, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, yuko nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
"Tunaiona Tanzania kama mshirika muhimu wa kimkakati, nchi tulivu na yenye amani, ikiwa na ukuaji mkubwa wa uchumi na idadi ya watu katika ukanda huu unaokabiliwa na changamoto nyingi," alisema.

Hivyo basi, alitoa hakikisho kuwa Tanzania itaendelea kufaidika na ushirikiano wa kimkakati kwa maendeleo ya pande zote kati ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya.

Akifafanua kuhusu ushirikiano wa pande mbili unaoendelea, alieleza kuwa Tanzania imenufaika na mpango wa EU wa Global Gateway, hususan katika uendelezaji wa miundombinu ya kiuchumi na rasilimali muhimu, huku ikijitokeza kama mnufaika mkubwa wa mpango huo.

Ukiwa kilaza wa Diplomacy utadhani kasifu, kumbe anajua na kuchagua maneno, huyo ni Diplomat na hujui ataripoti nini akifika kwao
 
Erythrocyte unaitwa huku Mzungu Kombos ameshasema🤣🤣🤣
 
Chadema watamaindi kinoma
Chadema a.k.a nyumbu wanaupita huu uzi kama hawauoni vile waliingizwa mkenge na Shangazi wao Maria huko Tweeter (X) eti huyo Kombos anakuja kusikiliza kesi ya Lissu 🤣🤣🤣. Ukiwa na akili kama nyumbu ni shida sana!!!
 
EU uwa ni barua leta barua nimeenda kwenye website EU hamna hiyo Habari?
 
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania

Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki, huku ukiitakia nchi hiyo mchakato wa uchaguzi mkuu ujao uwe wa haki na wa amani, ili kuimarisha demokrasia na ukuaji wa uchumi.

Bw. Constantinos Kombos, Mwakilishi Rasmi wa Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera za Usalama, alieleza kuthamini kwa EU mafanikio ya Tanzania katika kudumisha amani na utulivu wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Bw. Kombos, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, yuko nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
"Tunaiona Tanzania kama mshirika muhimu wa kimkakati, nchi tulivu na yenye amani, ikiwa na ukuaji mkubwa wa uchumi na idadi ya watu katika ukanda huu unaokabiliwa na changamoto nyingi," alisema.

Hivyo basi, alitoa hakikisho kuwa Tanzania itaendelea kufaidika na ushirikiano wa kimkakati kwa maendeleo ya pande zote kati ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya.

Akifafanua kuhusu ushirikiano wa pande mbili unaoendelea, alieleza kuwa Tanzania imenufaika na mpango wa EU wa Global Gateway, hususan katika uendelezaji wa miundombinu ya kiuchumi na rasilimali muhimu, huku ikijitokeza kama mnufaika mkubwa wa mpango huo.

Heheeeeeeeeee

Heheeeeeeeeee

Lord have mercy upon us

Wiiwiiiiiiii
 
Wakiikosoa wanageuka MABEBERUUUU
 
uchaguzi huru nawa HAKI, We Ulitaka asemaje labda
 
Ni kama hauna Imani na chombo hicho kinachoitwa mjini fm
tunakubaliana huu ni mwendelezo wa fikra zako mkuu

kauli yangu huweza kutafsirika vinginevyo
nina imani/sina nimefurahi/kejeli vyovyote vile upo sahihi? haupo sahihi? inategemea na uande utakaosimama.
 
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania

Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki, huku ukiitakia nchi hiyo mchakato wa uchaguzi mkuu ujao uwe wa haki na wa amani, ili kuimarisha demokrasia na ukuaji wa uchumi.

Bw. Constantinos Kombos, Mwakilishi Rasmi wa Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera za Usalama, alieleza kuthamini kwa EU mafanikio ya Tanzania katika kudumisha amani na utulivu wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Bw. Kombos, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, yuko nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
"Tunaiona Tanzania kama mshirika muhimu wa kimkakati, nchi tulivu na yenye amani, ikiwa na ukuaji mkubwa wa uchumi na idadi ya watu katika ukanda huu unaokabiliwa na changamoto nyingi," alisema.

Hivyo basi, alitoa hakikisho kuwa Tanzania itaendelea kufaidika na ushirikiano wa kimkakati kwa maendeleo ya pande zote kati ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya.

Akifafanua kuhusu ushirikiano wa pande mbili unaoendelea, alieleza kuwa Tanzania imenufaika na mpango wa EU wa Global Gateway, hususan katika uendelezaji wa miundombinu ya kiuchumi na rasilimali muhimu, huku ikijitokeza kama mnufaika mkubwa wa mpango huo.

sijafurahia nilidhani watatusaidia atoke
 
Back
Top Bottom