Matarajio ni mengi sanaErythrocyte unaitwa huku Mzungu Kombos ameshasema🤣🤣🤣
Atabubujikwa na machozi ya furaha, ndugu yake johnthebaptist atamfuta machoziHuu uzi akiuona Lucas Mwashambwa basi tumeishaa.
Maswala ya ndani tuliambiwa yana taratibu zake, ngumu wageni kuingilia kienyejiChadema a.k.a nyumbu wanaupita huu uzi kama hawauoni vile waliingizwa mkenge na Shangazi wao Maria huko Tweeter (X) eti huyo Kombos anakuja kusikiliza kesi ya Lissu 🤣🤣🤣. Ukiwa na akili kama nyumbu ni shida sana!!!
mmeumbuka mno yaani mnaona aibu tu sasahivi mlisema anasubiri aangalie kesi ya lissu aibuSubirini arudi akatoe official report tuone
Mnahangaika sanammeumbuka mno yaani mnaona aibu tu sasahivi mlisema anasubiri aangalie kesi ya lissu aibu
Hiyo "Mungu Wabariki Wazungu " Erythrocyte ana hati miliki nayo. Msiitumie kiholelaHii kauli ya Mungu wa bariki wazungu naona umeikopa sehemu, au ni unajaribu kurusha jiwe gizani?
Cc Erythrocyte