EU yaisifu TANZANIA kuwa kielelezo cha amani na kuitakia uchaguzi huru na wa Haki

Who is a problem in this coutry, Lisu or CCM?
Not coutry=country..

Lisu is not a problem, but he is a dickhead and void minded head who is huge obstacle to the development of a country.
CCM is a development master planner and a problem solver for tanzanians.
 
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania

Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki, huku ukiitakia nchi hiyo mchakato wa uchaguzi mkuu ujao uwe wa haki na wa amani, ili kuimarisha demokrasia na ukuaji wa uchumi.

Bw. Constantinos Kombos, Mwakilishi Rasmi wa Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera za Usalama, alieleza kuthamini kwa EU mafanikio ya Tanzania katika kudumisha amani na utulivu wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Bw. Kombos, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, yuko nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
"Tunaiona Tanzania kama mshirika muhimu wa kimkakati, nchi tulivu na yenye amani, ikiwa na ukuaji mkubwa wa uchumi na idadi ya watu katika ukanda huu unaokabiliwa na changamoto nyingi," alisema.

Hivyo basi, alitoa hakikisho kuwa Tanzania itaendelea kufaidika na ushirikiano wa kimkakati kwa maendeleo ya pande zote kati ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya.

Akifafanua kuhusu ushirikiano wa pande mbili unaoendelea, alieleza kuwa Tanzania imenufaika na mpango wa EU wa Global Gateway, hususan katika uendelezaji wa miundombinu ya kiuchumi na rasilimali muhimu, huku ikijitokeza kama mnufaika mkubwa wa mpango huo.

Hii hadithi umefundishwa na nani?
 
Unaw

Unataka wawapiganie nyie mkiwa kwemye keybord? Hakuna mzungu atakuja kuwapigania nyie mkiwa kwemye keybord

Wewe unamwamini mleta hii hadithi? Amekupa kielelezo gani kuthibitisha hayo anayotanena ni habari, na siyo hadithi aliyoitengeneza?
 
Not coutry=country..

Lisu is not a problem, but he is a dickhead and void minded head who is huge obstacle to the development of a country.
CCM is a development master planner and a problem solver for tanzanians.
How is CCM a problem solver for Tanzanians while we have a bunch of unemployed graduates since 2015? And every year universities are still producing more and more?
 
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania

Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki, huku ukiitakia nchi hiyo mchakato wa uchaguzi mkuu ujao uwe wa haki na wa amani, ili kuimarisha demokrasia na ukuaji wa uchumi.

Bw. Constantinos Kombos, Mwakilishi Rasmi wa Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera za Usalama, alieleza kuthamini kwa EU mafanikio ya Tanzania katika kudumisha amani na utulivu wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Bw. Kombos, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, yuko nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
"Tunaiona Tanzania kama mshirika muhimu wa kimkakati, nchi tulivu na yenye amani, ikiwa na ukuaji mkubwa wa uchumi na idadi ya watu katika ukanda huu unaokabiliwa na changamoto nyingi," alisema.

Hivyo basi, alitoa hakikisho kuwa Tanzania itaendelea kufaidika na ushirikiano wa kimkakati kwa maendeleo ya pande zote kati ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya.

Akifafanua kuhusu ushirikiano wa pande mbili unaoendelea, alieleza kuwa Tanzania imenufaika na mpango wa EU wa Global Gateway, hususan katika uendelezaji wa miundombinu ya kiuchumi na rasilimali muhimu, huku ikijitokeza kama mnufaika mkubwa wa mpango huo.

Wakisifu tuko nao pamoja

Wakiponda, wanaleta ushoga
 
Back
Top Bottom