NasikitikaTunasubiri maoni yako mkuu, ina onekana una furaha iliyopitiliza.
CCM hamna dira mmebaki na kazi ya kuiba na kuua tuKuna maneno pia hapo kielelezo cha Amani, Padri kitima(e) anaweza kuwa na maoni zaidi
mzungu huyo angesema tanzania inahitajii reforms hii habari ungeileta huku, au unaleta habari unazopenda kusikiaNi kuonesha namna anavyowathamini zaidi ya chochote
Hv unadhani nyie tu ndo mnaijua diplomacy na jinsi ya kuiwasilisha ripoti ya kidplomacy?Ukiwa kilaza wa Diplomacy utadhani kasifu, kumbe anajua na kuchagua maneno, huyo ni Diplomat na hujui ataripoti nini akifika kwao
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania
Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki, huku ukiitakia nchi hiyo mchakato wa uchaguzi mkuu ujao uwe wa haki na wa amani, ili kuimarisha demokrasia na ukuaji wa uchumi.
Bw. Constantinos Kombos, Mwakilishi Rasmi wa Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera za Usalama, alieleza kuthamini kwa EU mafanikio ya Tanzania katika kudumisha amani na utulivu wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Bw. Kombos, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, yuko nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
"Tunaiona Tanzania kama mshirika muhimu wa kimkakati, nchi tulivu na yenye amani, ikiwa na ukuaji mkubwa wa uchumi na idadi ya watu katika ukanda huu unaokabiliwa na changamoto nyingi," alisema.
Hivyo basi, alitoa hakikisho kuwa Tanzania itaendelea kufaidika na ushirikiano wa kimkakati kwa maendeleo ya pande zote kati ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya.
Akifafanua kuhusu ushirikiano wa pande mbili unaoendelea, alieleza kuwa Tanzania imenufaika na mpango wa EU wa Global Gateway, hususan katika uendelezaji wa miundombinu ya kiuchumi na rasilimali muhimu, huku ikijitokeza kama mnufaika mkubwa wa mpango huo.
![]()
Waziri wa Mambo ya Nje wa EU kutembelea Tanzania kujadili hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) anawasili kesho jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo muhimu na serikali ya Tanzania kuhusu demokrasia, haki za binadamu na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Ziara hiyo ya siku tatu (Julai 8-10) inafanywa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus...www.jamiiforums.com
China Diplomatic relations na China ni nzuri sana, kweli si kweli, Kenya zama hizo alikua hana thamani na China. Sasa siku moja kaa na mchina uongee kuhusu juu ya huu uhusiano. Hapo ndiyo utajua. Mtafute siku moja mtu anayejua kichina halafu umuulize. Sawa nyie mnyidanganye tuHv unadhani nyie tu ndo mnaijua diplomacy na jinsi ya kuiwasilisha ripoti ya kidplomacy?
KUJIONA NDO USHAMBA ULIOPO CHADOMO
Haya diplomatic counselChina Diplomatic relations na China ni nzuri sana, kweli si kweli, Kenya zama hizo alikua hana thamani na China. Sasa siku moja kaa na mchina uongee kuhusu juu ya huu uhusiano. Hapo ndiyo utajua. Mtafute siku moja mtu anayejua kichina halafu umuulize. Sawa nyie mnyidanganye tu
Keshapewa migodi kadhaa unadhani atacoment nin?Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania
Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki, huku ukiitakia nchi hiyo mchakato wa uchaguzi mkuu ujao uwe wa haki na wa amani, ili kuimarisha demokrasia na ukuaji wa uchumi.
Bw. Constantinos Kombos, Mwakilishi Rasmi wa Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera za Usalama, alieleza kuthamini kwa EU mafanikio ya Tanzania katika kudumisha amani na utulivu wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Bw. Kombos, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, yuko nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
"Tunaiona Tanzania kama mshirika muhimu wa kimkakati, nchi tulivu na yenye amani, ikiwa na ukuaji mkubwa wa uchumi na idadi ya watu katika ukanda huu unaokabiliwa na changamoto nyingi," alisema.
Hivyo basi, alitoa hakikisho kuwa Tanzania itaendelea kufaidika na ushirikiano wa kimkakati kwa maendeleo ya pande zote kati ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya.
Akifafanua kuhusu ushirikiano wa pande mbili unaoendelea, alieleza kuwa Tanzania imenufaika na mpango wa EU wa Global Gateway, hususan katika uendelezaji wa miundombinu ya kiuchumi na rasilimali muhimu, huku ikijitokeza kama mnufaika mkubwa wa mpango huo.
![]()
Waziri wa Mambo ya Nje wa EU kutembelea Tanzania kujadili hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) anawasili kesho jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo muhimu na serikali ya Tanzania kuhusu demokrasia, haki za binadamu na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Ziara hiyo ya siku tatu (Julai 8-10) inafanywa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus...www.jamiiforums.com
Sasa nikwambie:Haya diplomatic counsel
Ulikuwa una hoja sana lakini kitendo cha kutaja huyo KIBAKA WA KISIASA hapo mwishoni, nmekuona tena wale wale MATAPELI WA KISIASA!Sasa nikwambie:
Duniani kote nchi yenye amani imeendelea. Yaani Amani ndiyo investors wanapenda. Peace and stability.
Sasa kama Kenya au DRC au Zambia au South Africa etc etc kwa nini Tanzania uchumi bado kama Somalia na Afghanistan ?
Hakuna major investors yupo Tanzania niambie yupi? Wote wanaenda Kenya, Zambia, Congo au China!! Tell me all the time they would tell you ohh we are peaceful and stable why does this factor not support sustainability of the economy? That is why a factor like Lissu come about
You are afraid of the shade, for sleeping with the devil, for sure you know what I mean, Lissu factorUlikuwa una hoja sana lakini kitendo cha kutaja huyo KIBAKA WA KISIASA hapo mwishoni, nmekuona tena wale wale MATAPELI WA KISIASA!
swali rahisi tu" KATI YAKO NA HUYO ALIYESEMA KWA KINYWA CHAKE, TUMUAMINI NANI?
Lissu has nothng to do with tanzanian politics,You are afraid of the shade, for sleeping with the devil, for sure you know what I mean, Lissu factor
The of cause and effect plays here, who the hell caused it, you shot him, out of 39 bullets 18 of them entered his body, one is still the embedded inside onto his backbone, he survived flown to Kenya then to Belgian, when he came back you watentef to finish him he took custody at the Germany Embassy, then flown to Belgian, than God he survived.Lissu has nothng to do with tanzanian politics,
Lissu is a political vagabond and stranger!
By then i can not waste my time to hold discussions regarding to a betrayer/traitor.. The person who has incorporated with foreigners to detriote our country's dignity hopping that we can not solve our political problems/differences without foreign intimidation.
By the way lissu is speeding up the country's political instability, but he will never achieve anything rather than spending the rest of his life in jail/remande
How sure are you that lissu was shot by me?The of cause and effect plays here, who the hell caused it, you shot him, out of 39 bullets 18 of them entered his body, one is still the embedded inside onto his backbone, he survived flown to Kenya then to Belgian, when he came back you watentef to finish him he took custody at the Germany Embassy, then flown to Belgian, than God he survived.
You were planning to inject him polonium and the Eu discovered your sadistic evil, now you keep hallucinating he is a puppet, no you’re the one who spiked everything, and now you cannot stop this movement.
This system is going to be wiped out, evil CCM.
Who is a problem in this coutry, Lisu or CCM?There is no any political or social strategies that can be applied by chadomo to wipe out CCM rather than CCM his self..
political puppets and alike have no any strategy..