The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Haiwezekani Abduli akawemo TISS? Haya mamlaka ya kukutana na viongozi wa nchi zingine anayapata wapi?Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Wapo watu nyuma yao miongoni mwao lkn si sa100 anayetoa maelekezo..nikupe mfano, wakat fulan magufuli alimfukuza na kumfuta kazi kidata..ajabu baada ya muda akamrudisha tena kuwa ras mtwara..maamuz ya aina hii yanaashilia tiss wako juu ya rais..wao ndio wanafanya maamuz kwenye mambo mengi, rais ni rubber stamp tu..TISS wana pata maelekezo pia. Ndiuo maana tangu Maza aingie Mombo ni wa nne kushikilia nafasi.
Anaweza kuwemo ili wamtumie km wanavyofanya sasa..ili msiwajadili wao, attention yenu iwe kwake km hivi mnavyofanya..hata kwa kumuangalia tu unaona hicho kichwa ni cha kupanga hayo anayofanya? na museveni anajua shida iliyoko tanzania ndio maana anayaleta hadharani tufahamu ujinga wa hao wanaofanya hivyo, mbona huwa haonyeshi watu wengine wakimtembelea..isipokuwa hao tu wanaotoka tanzania, na facilitator wa hayo ni tiss wenyewe..Haiwezekani Abduli akawemo TISS? Haya mamlaka ya kukutana na viongozi wa nchi zingine anayapata wapi?
Wanaomlinda ndio wamemgeuka kwa maelekezo kutoka kwa Samia na Mombo.Kwani Vice sianapewa ulinzi usio koma mpaka ana fariki ?
Usalama wa Taifa ndio wanufaika wa hii Katiba ya kissenge.Rais hana power
Kuna wahuni zaid ndio controller
Ochestrator wa huu ujinga ni Maria Sarungi.Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Huu ni uongoWapo watu nyuma yao miongoni mwao lkn si sa100 anayetoa maelekezo..nikupe mfano, wakat fulan magufuli alimfukuza na kumfuta kazi kidata..ajabu baada ya muda akamrudisha tena kuwa ras mtwara..maamuz ya aina hii yanaashilia tiss wako juu ya rais..wao ndio wanafanya maamuz kwenye mambo mengi, rais ni rubber stamp tu..
Makamu wa rais hawezi kusafiri kama wafanyabiashara wa toys wanavyoenda kufunga mzigo China.Kwa mara ya pili baada ya Polepole naona afisa usalama yaani Nchimbi anarudia makosa. Unajiuzulu na bado uko nchini, ameshindwa kukimbilia moja ya balozi wampe hifadhi, jiuzulu mguu moja uko magharibi mwingine mashariki.
Taarifa nayokumbuka aliitoa kwa usahihi ni kuhusu kifo cha magufuli kabla serikal hawajaja na taarifa yao ya uongo.Chahali ni muokoteza taarifa ,sijawahi kuamini.
Mna uhakika nchimbi alikuwa afisa usalama?Kwa mara ya pili baada ya Polepole naona afisa usalama yaani Nchimbi anarudia makosa. Unajiuzulu na bado uko nchini, ameshindwa kukimbilia moja ya balozi wampe hifadhi, jiuzulu mguu moja uko magharibi mwingine mashariki.
Nashangaa sana wanavyomuita jasusi,,mtu pekee akitoa taarifa 70% huwa kweli ni Mange ila sio hao waokoteza taarifa. Na uzuri wa Mange hata uwasilishaji wake hauna mihemko kama hao wengine wao udini,ukabila ndo zimejaa na kuharibu kabisa hii movement.Taarifa nayokumbuka aliitoa kwa usahihi ni kuhusu kifo cha magufuli kabla serikal hawajaja na taarifa yao ya uongo.
wanaomlinda wanalipwa na nani? kiapo chao cha kazi kinasemaje,wanatakiwa kuripoti wapi?..huyo Mombo mwenyewe ana boss wakeWanaomlinda ndio wamemgeuka kwa maelekezo kutoka kwa Samia na Mombo.
Hapana siwezi kuwaonesha kwasababu sijui,ila pia siwezi kua muongo ili nipate kiki.ila ninyi wabongo ni wa ajabu sana. Wewe ukiulizwa Nchimbi aliko ni wapi utatuonesha?
Kwa wewe unavyoona wanatenda kazi zao kwa kuzingatia sheria au matakwa ya Samia?wanaomlinda wanalipwa na nani? kiapo chao cha kazi kinasemaje,wanatakiwa kuripoti wapi?..huyo Mombo mwenyewe ana boss wake
Sheria ,hiyo ya matakwa sina uhakika nayo, ila kwa kazi zao hawana boss zaidi ya samia na katiba kupitia sheria zao na nchiKwa wewe unavyoona wanatenda kazi zao kwa kuzingatia sheria au matakwa ya Samia?