..sema huo ukweliHuu ni uongo
Well katiba ndio imetaka imempa hayo mamlaka. Is why tunahitaji katiba itakayo punguza hayo mamlaka, mahaka ipewe nguvu kikamilifu. Na vyombo vya ulinzi na usalama viwe separated from politics kabisa.Just imagine!! Huyu mother anaweza amejigeuza mungu mtu
Kama hatoi maelekezo mbona hazuii yasitokee ?..sema huo ukweli
🥴🥴🥴 Tupo hapa, nitakuja kukumbusha hii commentMatako yako
Hizi mambo zenu mnatoa wapi aisee, hata huyo Chahali mnapataje nguvu ya kumuamini ndugu zetu?Kumbe hiyo TISS mkurugenzi wake (DGIS) ni nani unadhani? Ni huyo unayemjua, au siyo..?
Hujui kuwa mkuu wa TISS ni Abdul mtoto wa Samia?
Nadhani lengo la hizi taarifa kama za Abdul kuwa ni mkubwa wa TISS au Ndejembi kuwa ni mpemba ni kukoroga dimbwi la maji ili yasinyweke. Wanaozaa taarifa hizi ni watu wenye akili.Ochestrator wa huu ujinga ni Maria Sarungi.
Yule zwazwa anaweza kumwamrisha nani kufanya uhuni wote huu ?
uongo hupingwa kwa ukweli. ukweli huna, ila unasema jambo flani ni uongo.Hapana siwezi kuwaonesha kwasababu sijui,ila pia siwezi kua muongo ili nipate kiki.
Lakini inawaondoa wahusika wenyewe kwenye public scrutiny mnabaki mnahangaika na watu wasio na tija yoyote kushughulika nao.Nadhani lengo la hizi taarifa kama za Abdul kuwa ni mkubwa wa TISS au Ndejembi kuwa ni mpemba ni kukoroga dimbwi la maji ili yasinyweke. Wanaozaa taarifa hizi ni watu wenye akili.
Abdul juzi alikuwa kwa Museveni ameenda kutafuta Wawekezaji akapiga na Kideo kabisa ...Alitumwa na nani na kama nani?!
Sawa kusoma haujui hata picha hauoni?.
Utaratibu ukoje wa kubadilishana uongozi.si anatakiwa awepo umemuona wapi tuambie
Mama mkwe kumbe na wewe ni mtu wa sistimu?Mna haraka ya nini si mtulie, watu wamemchukua mtu wao tar 4 watamleta kukabidhi ofisi then watamrudisha kuzuizini, hawatomuua.
Polepole kesi yake na Nchimbi ziko tofauti sana mbona.
..katibie hicho kifafa bado mapemaKama hatoi maelekezo mbona hazuii yasitokee ?
Chezo kama chezo.Hahahahah lile ni chezo kumficha isijulikane anahusika na la Nchimbi,huju alikuwa ameondoka amekwisha haribu kilakitu
Kama haufahamu ushiriki wa Abdul from word go then this topic is beyond your level.Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Basi tuambie wewe Nchimbi yuko wapiAchana na hawa wazushi. Hivi kuna watu bado wanamuamini huyo Chahali? Kiwanda cha uzushi? I wonder
..danganya wajinga km weweKama haufahamu ushiriki wa Abdul from word go then this topic is beyond your level.
Hilo liko wazi ila machoko wa UVCCM wanapambana sana ukweli usijulikane, Samia kampa mwanae madaraka ya kuiongoza(kui-control) TISS illegally ili kila watakalo liende wanavyotaka.Kumbe hiyo TISS mkurugenzi wake (DGIS) ni nani unadhani? Ni huyo unayemjua, au siyo..?
Hujui kuwa mkuu wa TISS ni Abdul mtoto wa Samia?
Nyie UVCCM wote ni ma-zombie, huwa mnapinga likishadhihirika ndipo mnakuja na vistori uchwara vya justifications. Mlidai(back then) kuwa Lissu kajipiga risasi, mlidai Ali Kibao hajauawawa, mkasema Mdude kajificha tu hajatekwa bali anaogopa madeni, mkasema Polepole hajatekwa yaani the list is endless lakini huwa inafika mnaaza kula matapishi yenu wenyewe...danganya wajinga km wewe