Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

Kama hafai kwanini ameshindwa kuiteketeza Hizbollah na Hamas?
Viongozi wa Hamas kina Ismali Haniyeh wako Gaza kwanini ameshindwa kuwa assassinate!?
Use your common sense your embiciles.
Kwa sababu wanatumia raia kama ngao.Wangekuwa wanapigana wenyewe kama wenyewe bila involvement ya raia nafikiri hiyo ndo ingekuwa vita fupi zaidi kuwahi kuwepo.Dakika tatu!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Iran na Russia Wana Nini,zaidi ya masaa 16 hawakujua helicopter imeanguka wapi Hadi uturuki walipowapa drone zao ndio wakajua ndani tu ya dakika
 
Netanyahu alisema kuwa kila aliyehusika ni maiti inayotembea
Huyo Raisi wa Iran aliyekufa ndie aliamuru Jeshi la Iran lishambulie Israel Kwa makombora

Amekuwa maiti inayotembea kwenye Helicopter na Bado wengine

Muisrael akipigwa Huwa anaehuka anakuwa mwehu kivita atawabamiza hasa tusubiri wengine ngazi za juu Iran kuuawa na Israel
 
Kwa sababu wanatumia raia kama ngao.Wangekuwa wanapigana wenyewe kama wenyewe bila involvement ya raia nafikiri hiyo ndo ingekuwa vita fupi zaidi kuwahi kuwepo.Dakika tatu!
Hayo madai unayosema wewe IDF waliambiwa walete ushahidi walikosa.
Maeneo yote wanayoshambuliwa kwa kuvizia sio maeneo ya raia.
Hao Hamas waliodaiwa kujificha nyuma ya raia mbona kulipuliwa kote hao raia haikupatikana hata silaha ya Hamas!?
Bali maiti za wanawake na watoto?
Au Hamas wana miujiza wakiuawa wanageuka wanawake na watoto!?
Bado ni madai ya kifala haya ambayo IDF walishindwa kuyathibitisha.
 
Netanyahu alisema kuwa kila aliyehusika ni maiti inayotembea
Jibu hayo maswali hapo uache poyoyo.
Hivi ndivyo ulivyokua unajibu shuleni katika mitihani!?
Unaulizwa mlenda unajibu mchuzi!?
Leta majibu ya hayo maswali nasubiri hapa.
 
magaidi wapo nchi zote jirani na Israel na dunia nzima hata wewe hapo ukipewa jambia unaenda ila kwa Israel bado ni kama sio stiff fighting jua hilo.Wavaa kobazi mmevuliwa nguo acha povu liwatoke.nawashauri na nyie mumvizie NETA[emoji1787].
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwisha habari yako.
HUNA JIBU UKIWEZA KUJIBU HAYO MASWALI NAONDOKA JF NA NAKUPA OFA YA KURITADI NIMUABUDU YESU.
Nakuongezea maswali mengine ya madai yako ya ugaidi,
1)Israel inayokamata watoto chini ya miaka 12 kila mwaka na kuwafunga jela za watoto sio magaidi?
2)Israel inayobomoa nyumba za Wapalestina kila uchwao kupanua makazi ya wazayuni sio magaidi!?
3)Israel inayoshambulia makanisa na wakristu ndani ya Israel yenyewe vipi hao sio magaidi?
4)Unajua kilichopelekea Oktoba 7 kutokea!?
Nasubiri majibu hapa.
Usilete povu la OMO AU MAQ kama mwanzo.
Lete fact.
 
BIBLIA?

Really?

Yaani religious extremists are a very big problem in this world,and you sir,you are a problem!
 
binamu kaniambia wairani siyo waislamu, wao ni shia wkt waislamu halisi ni Suni.
 
Mechi itaanza baada ya uchunguzi kukamilika na kama ni Israel kweli basi sio watu wa mchezo aisee.
Iran leo nimesikia wakisema kama Israel kahusikia basi wajue safari hi watajuta kugusa Iran.

Wanasema pia kama US kahusika wanalo jibu lake pia.

Huoni Israel wamenza kukanusha hawakuhusika.

Mrusi anasema USA ndiye aliye husika na uwaji huo.

Tusubiri mchezo hu aliye chezea America safari hi atajuta nadhani hapo Middle East America itabidi akimbie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ