Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
nimeelewa
 
Acha usenge bas watu tunauchungu mkali k***lmke ungejua , acha usenge kabisa watu tunapambana k***lmke ila Bado bila bila we unasema fursa fursa gani k***lmke au sbbu we una wajomba wamekuweka apo walipokueka...
Wewe endelea kujiita Jobless utafumuliwa matrako ubaki huna marinda, huu muda unaoshinda mitandaoni kutukana ungeutumia kufikiria unajikwamuaje kutoka ktk umasikini wako... Unalia lia kama mtoto wa kike aliyebanwa katika kitanda, amka mtoto wa kiume dunia haichek na wew...
Ungekuwa una pambana usingelia kisengerema kama vile unainjoi paipu
 
Aiseeee

Kwa kuwa sera Cha chama chetu haziendani na maudhui yako!

Hatuna kubwa la kukusemea mbele ya Mungu zaidi ya kusema ubarikiwe sana
 
Aiseeee

Kwa kuwa sera Cha chama chetu haziendani na maudhui yako!

Hatuna kubwa la kukusemea mbele ya Mungu zaidi ya kusema ubarikiwe sana
AMEN 🙏...
Sasa msijiite jobless msikate tamaa vijana jishugulisheni... Yaani mchina na mkenya waone fursa ya kufanya umachinga kariakoo... Wewe kijana wa mjini ukae nyumban kwa mume wa dada unalia kazi hakuna...
Salute 🫡 kwa vijana wote walioamua kujishughulisha na kuweka vyeti vyao kabatini bila kujali GPA zao...
 
Sawa ubarikiwe sana
 
Duh kazi kwel kwel.
 
Sasa kama kuna shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA wanatetea maslahi ya wafanyakazi, na wafanyakazi wa sekta mbalimbali wana vyama vyao vya kuteteana, why kusiwe na chama cha wasio na kazi nao wateteane kwa changamoto wanazozipitia? Jobless nao ni kundi kubwa ndani ya jamii wanastahili kuwa na chama chao cha kuteteana kwa magumu wanayoyapitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…