Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
Hakika mkuu umenena vyemaaa

Umeniongezea pwentii Mimi semaji za kukusemea chama
 
naam Asante kwa kuwa muelewa.
 
Huyo ana weza kuwa mshauri na mtoa michango wa chama.
 
kuanzia Leo nime kuteua kuwa waziri wa mambo ya ndani, katika chama Cha ma jobless pro max.

Kazi yake kuhakikisha usalama wa chama na viongozi wake.
min -me, makutupora, Bolotoba mwenzetu huyu.
Mimi semaji la chama Napenda Kutangaza taarifa kwa umma kuwa Mh. Rais amemteua ndugu Thecoder kuwa waziri wa mambo ya ndani katika chama Cha Majobless Promax .

Ameanza majukumu yake baada tu ya uteuzi huu!

Semaji la chama Cha Majobless Promax
Samaleko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…