Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
Mheshimiwa rais Intelligent businessman naomba baraza lako la mawaziri liangalie namna ya kuboresha sarafu ya majobless jobless shillings Jshs ili kukuza thamani ya chama chetu
We Jamaa una taka tufungwe, hizo hela zina toka wapi??.

ngoja tuone chama kina watu wa namna gani kwanza
 



Tutazilinda kanunu hizi kwa wivu mkubwa.


  1. Matumizi ya Lazima Tu
  2. Pesa zitumike kwenye mahitaji muhimu kama chakula, malazi, na usafiri wa gharama nafuu.
  3. Hakuna Matumizi kwa Anasa – Hakuna kulipia vinywaji vya watu wengine au kununua zawadi zisizo na faida ya moja kwa moja.
  4. Tumia Mbinu za Akili – Tumia promosheni, punguzo, na ofa za bure kila inapowezekana.
  5. Tafuta Njia za Kuepuka Gharama – Kama unaweza kutengeneza kitu mwenyewe au kupata mbadala wa bei rahisi, usinunue ghali.
  6. Hakuna Matumizi Yasiyo na Faida – Kulipia tarehe za gharama kubwa au matumizi yasiyo na mrejesho wa kifedha ni marufuku.
  7. Usishindane kwa Matumizi – Wanaume wa chama hiki hawaonyeshi pesa kwa matumizi ya hadharani; badala yake, huwekeza au kuhifadhi.
  8. Fedha ni Silaha, Sio Kitu cha Kuitapanya – Lengo ni kuwa na uhuru wa kifedha, si kushindana kwa ununuzi wa vitu vya kifahari.
  9. Jifunze Kusema β€˜Hapana’ – Misingi ya chama hiki ni kuwa na nidhamu ya kusema "hapana" kwa matumizi yasiyo na ulazima.
  10. Jua Njia za Kuepuka Kudaiwa Malipo – Kuwa na mbinu za kuepuka kugharamia bili zisizo zako.
  11. Uaminifu kwa Wana Chama – Mwanaume bahili hatamwacha mwenzake aonekane anatumia pesa hovyo mbele ya wengine.
 
Pigaaa kaziiiiiii
 
Hiyo namba nne ni bomba sana, ila pia swala la sherehe za uswahilini linaweza kuzingatiwa kwaajiri ya chakula cha bure ili kupunguza bajeti pale inapowezekana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi zote zitakuwa porojo kama jobless atachagua mishe ya kufanya ausiyo bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…