min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kama unafanya biashara unategemea maamuzi ya mteja aje au asije na asipo kuja jioni hakuna kula , jiunge na chama haraka iwezekanavyo.Sijawahi kuwa na mshahara ndugu Katibu ๐๐๐๐... Mnanipa kadi namba ngapi?
Pia kama unafanya kilimo kwa kutegemea mvua inyeshe isiponyesha mazao yako yanakauka , jiunge na chama bila kuwaza mara mbili.
Kama unafanya biashara ila usipo kuwepo biashara yako haiendi na biashara yako kila mwaka ukifika mwisho, haijaunda biashara nyingine , jiunge na chama haraka bwashee.