Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
Wewe endelea kujiita Jobless utafumuliwa matrako ubaki huna marinda, huu muda unaoshinda mitandaoni kutukana ungeutumia kufikiria unajikwamuaje kutoka ktk umasikini wako... Unalia lia kama mtoto wa kike aliyebanwa katika kitanda, amka mtoto wa kiume dunia haichek na wew...
Ungekuwa una pambana usingelia kisengerema kama vile unainjoi paipu,..
Miaka kumi Sina kazi rasmi k@?mke ko nakula kwako au cyo ..
Acha u$$nge mtoto wa getini wewe,mioyo yetu inavuja damu ya machungu mengi huwez kuelewa wewe mtt mayai mayai k$?mke..
 
Naitazama milima, msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu utatoka kwa Mungu!

Nasemaje ... Mimi nipo tayari kwa break fast na makande usibadili madaa

Sitakubaliiiii 😂
Hizo ni nyimbo tu, sasa hivi ukiwapigia watu hawapokei simu, wanahisi labda unataka kuwapiga mzinga.
 
Back
Top Bottom