Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,421
Reaction score
40,936
Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe.

Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake.

A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him weak. A woman complains people rush to help her, a man complains and they tell him to "man up".

Hiyo ndio jamii tunayoishi na kama mwanaume hauielewi utaishia kuteseka kujaribu kuuridhisha ulimwengu ambao hauna huruma na wewe.

Unaendesha gari wakati wa mvua na umewaona mwanaume na mwanamke kando ya barabara wananyeshewa mvua wakati katika gari yako imebaki siti moja tu, mpe lifti mwanaume.

Kwa sababu mwanamke hatosimama hapo kando ya barabara kwa muda mrefu. Huyo mwanamke atapata lifti, comfort na msaada mwingine sio kwa sababu anastahili zaidi ya mwanaume ila ni kwa sababu ya jinsia yake. Thousands of simp men are waiting to play hero just to earn a smile of fake validation.

Upande wa mwanaume sasa usipompa hiyo lifti kuna uwezekano akaendelea kusimama hapo mvuani kwa masaa mengi sana na asipate msaada wowote huku wanaopita na magari yao hapo barabarani wakimpuuza tu.

Hakuna atakaejali kama anapigwa na baridi, ana njaa au kachoka. Hakuna atakaeona maumivu yake kwa sababu jamii inatarajia aweze kukabiliana na kila kitu. Being a man is both curse and crown. You get no sympathy, but you get strength.

Harafu kuna kitu kingine hapa. Hata kama ukimpa lifti mwanamke ni ngumu sana ku-appreciate. She feels entitled to your effort,she will act like it's your duty.

Lakini ukimpa lifti mwanaume atakukumbuka daima, kwa sababu wanaume tunajua nini maana ya kupuuzwa, kukataliwa na kubaki mwenyewe katika kipindi ambacho umefanya kila jitihada na bado haujafanikiwa.

As men, we have to rebuild the code of brotherhood. The world has turned men against each other competing for validation and attention from women who don't even respect them. Meanwhile, the brother next to you is fighting silent wars.

Don’t be a simp.
 
umenena vyema wanaume tusaidiane..bila kuwasahau wazazi wetu.
Screenshot_20260115-191701~2.jpg
 
Kila mwanaume ajipambanie,asiefiti katika mfumo na atoweke,wanawake ndio wanahtaji msaada. Mwanaume ukiona umekuwa mtu wa kuomba misaada lazima tukuchunguze.
Nafikiri haujaelewa kilichoandikwa. Hakuna popote nimeandika mwanaume asifanye jitihada badala yake aombe msaada. Offcorse msaada unatoa kwa mtu ambae unaona kuna kitu anafanya ili ainuke, na mwanaume sio supreme being kuna wakati nae anafika kwenye limit.
 
Miaka ya 2000 ile kipindi wanajali wanaume na kumanipulate wanawake ulikuwa hujazaliwa? Kina elizabeth na herieth martineu mpakq wanaanzisha mvt kwaajiri ya wanawake dhidi ya uonevu na unyonyaji wa haki za wanawake walipambana sana ili na wao wapewe hii nafasi unayolilia hapa ndugu mleta mada, ilikuwa ni mapambano makali wanakwake walikuwa abused mno, mafemisinst wasingeleta hii mvt sjui leo tungekuwa wapi! huu ni wakati wetu kuweni wavumilivu kidogo aisee!
Point ya mada sio feminism
 
Hatujaumbiwa kulialia ndugu hatuwezi kuvunja miiko ya asili kisa usawa wa ustawi wa jamii tumeandikiwa tutakula kwa jasho hatuna budi kujikwamua.
Mwanaume sio supreme being kuna muda anafika kwenye limit. Ukimwona kijana mwenzako anapambana vita ambayo unaweza kusaidia chochote, tafadhari mshike mkono.
 
Hata mm nabeba mwanamke, Mvua inakua na baridi. Na baridi bkama mnavyolijuq lina athari zake juu ya mnazi, mwqnamke anaweza akalichua
Mvua ni mfano niliotumia kujumuisha magumu yote tunayokutana nayo lengo la mfano huo lilikua ni kuangazia madhira ya kila siku tunayokutana nayo kama binadamu
 
Mwanaume sio supreme being kuna muda anafika kwenye limit. Ukimwona kijana mwenzako anapambana vita ambayo unaweza kusaidia chochote, tafadhari mshike mkono.
Ni kweli ila madhara yake yanaweza kuwa makubwa zaidi, kumbuka sheria ya ulimwengu jinsi idai "hakuna kitu cha bure duniani zaidi ya punzi'' hii ndiyo chanzo kuenea matatizo ya ushoga, uvivu na tabia zingine nyingi zisizofaa katika jamii, kumbuka hata neno la mungu linasema asiyefanya kazi na asile.
 
Msaada anapewa anayestahili mkuu bila kujali jinsia.

Misaada wanayopewa wanawake kama ya kielimu, mikopo nk ni kwasababu wanastahili, wengi wanakosa hizo fursa hasa vijijini.
Vijijini hakuna mwamko wa elimu kwaiyo ni suala ambalo linawagusa wote jinsia me na ke,hata hivyo hao wanaokosa nafasi ya kuendelea sio kwamba huwa wanafaulu vizuri, 98% huwa wanafeli kwa daraja F au 0 kabisa kwaiyo wazazi wanaona kuliko kupoteza muda ni bora mtoto abakie tu home afanye shughuli za kifamilia au kwa mtoto wa kike asubiri kuolewa. Sasa mtoto kama huyo hajanyimwa fursa isipokua uwezo wake kitaaluma hauruhusu kuvuka hatua hiyo.

Kuhusu suala la wanawake kupewa kipaumbele in most cases kigezo kinachowabeba sio kustahili, ni jinsia yao. Mfano hakuna systematic reform yoyote iliyowekwa kumzuia mwanamke kuwa injinia au daktari bingwa, isipokua wanawake walio wengi hawauwezi ule mziki wa PCM na PCB ndio maana tuna wanawake wachache sana kwenye hizo nyanja sasa hapo wanawake hawajanyimwa fursa isipokua competency yao ipo chini ndipo hapo kupitia sera za usawa wa kijinsia wajinga watajaribu ku-downgrade vigezo upande wa mwanamke ili kuwe na uwiano wa kijinsia.
 
Back
Top Bottom