mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Wanaozeshwa mapema, wanapewa kazi nyingi za nyumbani, wanaonewa kidogo mkuu.Vijijini hakuna mwamko wa elimu kwaiyo ni suala ambalo linawagusa wote jinsia me na ke,hata hivyo hao wanaokosa nafasi ya kuendelea sio kwamba huwa wanafaulu vizuri, 98% huwa wanafeli kwa daraja F au 0 kabisa kwaiyo wazazi wanaona kuliko kupoteza muda ni bora mtoto abakie tu home afanye shughuli za kifamilia au kwa mtoto wa kike asubiri kuolewa. Sasa mtoto kama huyo hajanyimwa fursa isipokua uwezo wake kitaaluma hauruhusu kuvuka hatua hiyo.
Kuhusu suala la wanawake kupewa kipaumbele in most cases kigezo kinachowabeba sio kustahili, ni jinsia yao. Mfano hakuna systematic reform yoyote iliyowekwa kumzuia mwanamke kuwa injinia au daktari bingwa, isipokua wanawake walio wengi hawauwezi ule mziki wa PCM na PCB ndio maana tuna wanawake wachache sana kwenye hizo nyanja sasa hapo wanawake hawajanyimwa fursa isipokua competency yao ipo chini ndipo hapo kupitia sera za usawa wa kijinsia wajinga watajaribu ku-downgrade vigezo uoande wa mwanamke ili kuwe na uwiano wa kijinsia.
Ila bado naona kama wengi hawana uthubutu.
Pia sisi wanaume tunaumizana wenyewe unakuta kijana ana wasifu mzuri wa kazi ila anapewa binti kwasababu ya kalio lake kubwa linalomvutia bosi.