Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

Wanawake huwa wananisaidia kwa haraka mno , hata pombe zikiisha ndani ni simu moja tu , hakuna watu ukijua kuishi nao wana jua kusaidia kama wanawake.
 
Mkuu ogopa technology sana. Kuna nyuzi humu umefunguka mengi mno hasa suala la kiafya na kukosa ajira. Mengine ni kujimwambafai nyuma ya keyboards
 
Ninakufolow from now on. You're fight will be mine. Nadhani ni wewe pekeako hapa JF umenena kitu hii. Nikiwa napata nyagi zangu hua napenda kuongea ukweli mbaya huu ambao wanaume wengi hawataki kuukubali japo wanajua ni sawa na wanaishia kuwa ma-f*ckng simps. Bro, mpaka nimepata hasira, wacha niende home nikapumzike, nyagi langu nitalimalizia home nikisome posts zako. Be blessed brother.
 
Hatujaumbiwa kulialia ndugu hatuwezi kuvunja miiko ya asili kisa usawa wa ustawi wa jamii tumeandikiwa tutakula kwa jasho hatuna budi kujikwamua.
Sawa tunakula kwa jasho, lakini ukimuona mwanaume mwenzako jasho limemzidia na unaweza kumpiga kiki akatua mbele mpige KiKi, ukiwa na uwezo wa kumpiga kiki mtu, na mbele yako yupo mwanaume na mwanmke, mpige kiki mwanaume mwenzio, maana atawasaidia wanaume wengine na wanawake kibao in the process. Nadhani mtoa mada kamaanisha hivo. Na hivo ndio wanaume tunatakiwa kuishi
 
Bado hajaelewa huyoooo... Siku hizi kuna wanaume wengi wenye hisia za kike. unakuta mwanaume yupo kwenye mid 30s na bado anaimba "nani kama mamaaaaa"... usitumie kuvu kubwa kumwelekeza mwanaume mwenye hisia za kike, hata kama ana mke na watoto ndani huyo bado anasagana tuuuu. Huo ndo ukweli bro. NA KAMA NIMEMKOSEA MTU NAOMBA ASINISAMEHE
 
kile kitendo cha Mungu kumwambie Adam kwamba mwanaume atatafuta kwa jasho ilikua ni hatari ni noma ndiyo imekua hivyo mwanaume misuli mingi,kifua kilichopasuka, mbavu kubwa hivi unaanzaje kumuonea huruma mwanaume,tumetengenezwa jasiri tunaweza kuimiri vishindo na dhoruba zote za dunia
 
Mungu hiyo kauli alimwambia mwaname gani??? Wewe uliambiwa hiyo kauli na mungu wako??
 
Aisee
 
Tuta litafakali hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…