Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama silaha ya kuangamiza ndugu zako wasikanyage kwako ila ndugu zake tuu .
2.wakwe wengi huamini jukumu la kufanya maendeleo nyumbani kwao kama vile kujenga ukweni,kusaidia na kusomesha mashemeji ni la kwako hivyo mkeo atatumia silaha ya convince power upeleke maendeleo kwao
3.Na ikitokea umepata nafasi ya juu serikalini watahakikisha wanakufanyia kitu ambacho kitakufanya usahau ndugu zako na maisha yako yawe chini yao lengo ni kuhakikisha fursa zote serikalini wakwe ndio unawapa kipaumbele na hapa ndipo mwanamke hupewa silaha nyuklia na mkeo na mama yake kuhakikisha haufurukuti wala kufanya lolote lile .
Mwisho kabisa kama wewe ni mtu wa misimamo usiependa kuendeshwa wakwe zako na mkeo watakuchukia lakini pia hata usipokuwa mtu wa misimamo wakwe zako pia watakuchukia kipindi tiyali umeishiwa watakuona kama threat na mzigo kwao na kwa dada yao hivyo hiyo ndoa wanaona bora ivunjike kuliko kumuona mtoto wao anaishi maisha ya shida na wewe hivyo hata ikitokea mmegombana suluhisho wanaona ni bora muachane lakini kabla ya hujafilisika mkigombana kidogo wakwe hujitahidi kufanya juu chini ndoa yenu isivunjike tena mama mkwe yupo tiyali kukupigia magoti umsamehe mtoto wake .
Mwisho kabisa vijana kuweni makini usione wakwe na mashemeji wanakuchekea juu ya dada yao ukaona unapedwaaa kaa nao kwa akili hao watu