Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

Mwenye masikio na asikie mwenye akili na aelewe , umenena vyema kijana
 
Mtu mzima unaandika akiri? badala ya Akili...
 
Mtu maana kabisa.. uzi bora wa mwezi huu
 
1. Umeoa jamii kutoka ukoo usio elimika.
2. Umeoa ukoo Fukara wangekuwa hata maskini wa kawaida hawawezi kuwa hivyo.
3. Umeoa kutoka familia ya kichawi

4. Umeoa familia yenye laana
 
Ila kwer mpk Leo wakwe zangu wamekua maji moto🔥🤣🤣🤣
 
Mama mkwe wako alikuwa anajiuza lazima awe na tabia hizi.
 
Ndio maana huwa tunasema ni bora msingi wa mahusiano ya kimapenzi/ndoa ujulikane mapema mwanamke kapendea nini. Alichokipendea kikitoweka na yeye anatoweka no matter amezaa watoto wangapi. Wanawake wengi huolewa kufuata mali na fedha/ajira nzuri. Ikitoweka hakuna rangi utaacha kuona toka kwa mkeo na wakwe watakuona choo cha shimo/shit hole
 
Hamjuagi nini mnakipendea kwa mtu na hatwa tukiuliza hamsemi huishia kusema umempendea alivyo
 
daah ukiwa jeiefu burdani sana..hapa kila mtu anatoka familia bora. hakuna kajambanani hapa[emoji38]

Btw kuna makabila ukijichanganya tu kutembea na binti yao utajijua hujui.

picha linaanza mamamkwe anahamia mazima apo unapokaa na binti.

ujakaa sawa mashemeji wanahamia wao na kuku na mbuzi zao.

kumbuka apo wewe na binti ni wachumba tu bado hata hujaamua kama utamuoa uyo binti.
 
1. Umeoa jamii kutoka ukoo usio elimika.
2. Umeoa ukoo Fukara wangekuwa hata maskini wa kawaida hawawezi kuwa hivyo.
3. Umeoa kutoka familia ya kichawi

4. Umeoa familia yenye laana
Hii kitu nimeianzishia uzi apa jf mara nyingi ila kwa bahati mbaya nyuzi zinafutwa.

Ukioa FAMILIA YA WATU WAJINGAWAJINGA WASIOJITAMBUA WASIOELEMIKA AU FAMILIA HOEHAE hakuna rangi utaacha kuiona na siku zote utaishia kusema kataa ndoa
 
Kwa mawazo haya Nimekupenda cocastic ,hiv kumbe una akili nying tu sema huwa unajichetua chief..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…