- Thread starter
- #121
Callenda ya BIBLIA.Kwa calenda ipi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Callenda ya BIBLIA.Kwa calenda ipi sasa
Biblia Ina miaka elf 2 calenda ya sasa ni baada ya KristoCallenda ya BIBLIA.
Mkuu,soma wakolosai2:16 utaelewa kuwa muhimu Ibada ifanywe kwa viwango vya Mungu haijalishi ni siku ganiKutokufungwa na SHERIA ndo kubadili siku kuu ya kukusanyika Kwa Ibada Kutoka Siku ya Saba ya juma (Jumamosi) kwenda siku ya Kwanza ya juma (jumapili)?
RabbonMkuu,soma wakolosai2:16 utaelewa kuwa muhimu Ibada ifanywe kwa viwango vya Mungu haijalishi ni siku gani
Ndiyo hivyo mkuu,halafu zile SHERIA za kushika sabato walipewa taifa la Israeli tu sio wakristo,mtoa mada aelewe wakristo walianza baada ya Yesu kubatizwa kuwa Kristo,lile taifa la Israeli hawakuwa wakristoRabbon
Wakolosai 2:16-17 SRUV
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
chalula kigumu hiki, tuanzishie uji mkuu.Ndiyo hivyo mkuu,halafu zile SHERIA za kushika sabato walipewa taifa la Israeli tu sio wakristo,mtoa mada aelewe wakristo walianza baada ya Yesu kubatizwa kuwa Kristo,lile taifa la Israeli hawakuwa wakristo
Swali hili linawahusu Wakristo wa Iran, Iraq, na nchi nyingine za Kiarabu na Kiislam pia?Salam, Shalom!!
Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili kama siku kuu ya IBADA badala ya Jumamosi iliyovyokuwa awali?
Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku,
Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli.
Na Mungu hufanya KAZI muda wote, hata sasa afanya KAZI.
Mungu anakuuliza Ewe Mkristo kupitia thread hii, ni nani aliyekwambia kukusanyika Jumapili kama siku kuu ya ibada takatifu badala ya Jumamosi?
Ukiulizwa andiko utalitoa wapi?
Ni nani aliyebadili siku kuu ya kukusanyika Kwa Ibada Kutoka Siku ya Saba ya juma, kwenda siku ya kwanza ya juma,jumapili?
Ni nani aliyekuagiza kusherehekea sikukuu ya Christmas tarehe 25 December?
Unalo andiko?
Ni maagizo ya Roho mtakatifu kufanya mambo hayo?
NB: Mkristo aulizwaye swali hili ni yule aliyeokoka, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho Mtakatifu, yule aaminiye juu ya karama Tano, unabii ukiwemo, aaminiye juu ya kunena Kwa lugha, aliyefunguliwa macho ya Rohoni na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu wazi WAZI.
ANGALIZO; Hii Si mada kuhusu Ukristo kama DINI, Bali Ukristo kama IMANI juu ya Yesu Kristo na maisha matakatifu.
SOURCE: OLE... MNAOTETEA JOKA KUABUDU JUMAPILI- UTUBE VIDEO, UNYAKUO TV.
Karibuni.[emoji120]
Hiyo siku ya BWANA katika ufunuo mbona haikutajwa?Ufunuo 1:10
"Nalikuwa katika roho, Siku ya Bwana"
Kuna Siku ya Bwana Yesu ( ya ufufuo), na Siku Musa (sabato), wakristo tumefanya maamuzi
Kwa kusema hivyo sipingi makusanyiko ya kila Siku, Ila kuna Siku ya kusanyiko kuu, Mfalme Daudi aliliita kusanyiko makini, kwa wakristo Ni Siku ya Bwana wao " Lord's day" ndio maana hata michango na kumega mkate kulifanyika Siku hiyo
Kwa wayahudi na wengine wanaomkataa Yesu sabato inaendelea huku wakimsubiri masihi!!!
Yn 20:19Hiyo siku ya BWANA katika ufunuo mbona haikutajwa?
Unajua makusanyiko ya IBADA jumapili yameanza Karne ya 4?
Hujiulizi kwanini mitume wote hawakuwahi kubadili?
Rudi kwenye historia,Yn 20:19
"Ikawa jioni, siku ile ya kwanza ya juma, pale walipokuwapo wanafunzi, milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi; akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani iwe kwenu."
Unaweza kuonyesha na wewe wanafunzi wa Yesu walikutanika Siku ya sabato? Au Yesu akawatokea Siku ya sabato, au Siku ya sabato walimega mkate?
Achana na historia, rudi kwenye maandiko, Kama unaamini kwamba biblia ndio mamlaka pekee ya neno la Mungu, sio hizo hadithi za kizee zinazobadirika kila Siku kwa jina la historiaRudi kwenye historia,
Mitume na manabii hawajawahi Badili Ibada Toka Jumamosi kwenda jumapili.
Hizo mambo wameanzisha watumishi Karne ya 4.
Rudi hapo juu, nimeweka Video Kutoka U-Tube Kuna ushuhuda wa maelekezo ya Mungu.Achana na historia, rudi kwenye maandiko, Kama unaamini kwamba biblia ndio mamlaka pekee ya neno la Mungu, sio hizo hadithi za kizee zinazobadirika kila Siku kwa jina la historia
Utakuwa mgonjwa wa akili sio bure.Ni Lini Yesu Kristo alikuagiza mkristo kukusanyika jumapili Kwa ajili ya IBADA Takatifu?
Msabato ni mtumwa wa torati.Alicho fanikiwa Bibi Ellen G. White ni kutengeneza kundi linalo wachukia wa Roman Kathori na wengine.
Waromani hawana chuki kabisa kwa Wasabato.
Ila Wasabato kila Jua likichomoza kazi Yao kuu ni kuwadhihaki Waroma.
Hawana habari na Dini ya Shetani, wala Freemasonry, wala Wahindu na Wabudha.
Hao wote ni watakatifu kwa Wasabato, Chuki ya Wasabato ni kwa Waroma tu Basi.
Wamesahau kutubu dhambi zao, wamesahau kujiona wenye dhambi,
Wamesahau kuhubiri Injiri ya Kristo.
Wao Kitabu chao ni cha Daniel tu, na Ufunuo wa Yohana.
Kwao wenye dhambi ni Wakatoriki tu Basi.
Tumeamua na huna la kufanya. Tumekuwa tukifanya miaka yote ata kabla ya kahaba Ellen G White, na freemason Joseph Smith kupotosha. Sabato ya kristo sio sawa na sabato ya watesi wake wayahudi. Hamna akili. Karibu kitimoto roast na ndizi mbili, then Bata wa kushoto.Salam, Shalom!!

Karibuni.🙏