Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

Tatizo ni kwamba wafanyabishara wakubwa wa nishati wako madarakani, tutakoma
 
Tutanyanyaswa mpaka lini?

Tuamke watanzania, gesi ipo Mtwara tena ya kumwaga, hayo mambo ya kutangazia kuwa bei imepanda wawatangazie mabeberu
 
Itauzwa lini wakati tayari tunanunua hiyo Bei uliyoiweka hapo? Mkuu hawa EWURA ni janga jingine kwa sisi raia.
 




Unapigia mbuzi gitaa... nzi za kijani hazielewi kabisa
 

 
Tafuta hela wewe uache kulialia kama mbweha kwa vitu vidogo vidogo
Mnapanda watu juu ya vichwa na kuwafananisha na mbweha siyo? Kweli kila kwenye watu 4 mmoja mirembe day mimeamini
 
Mungu wangu kwanini wasishushe kodi ili bei isipande
 
"Tatizo soko la dunia"

Hiyo gesi tuliambiwa ilishauzwa sio ya kwetu, bado hamuelewi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…