Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 522
Uchumi wa gesi umeishia wapi
In prof Muhongo’s voice. Inchi hii jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi wa gesi umeishia wapi
Tatizo ni kwamba wafanyabishara wakubwa wa nishati wako madarakani, tutakomaEwura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Chanzo: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
----------------
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani.
Kata miti upike maana gesi Sasa Ni ya mawaziri et al
Itauzwa lini wakati tayari tunanunua hiyo Bei uliyoiweka hapo? Mkuu hawa EWURA ni janga jingine kwa sisi raia.Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani
---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Bidhaa ya gesi haina perfect substitute .... Hizo kanuni zina apply kama bidhaa ina perfect substitute.
Mfano. Mkate ukipanda bei kuna maandazi, chapati, keki na vitumbua.
Pepsi ikipanda bei kuna coca-cola etc
Maji ya Kilimanjaro yakipanda bei kuna hillwater na mengineyo.
So ni ngumu sana bidhaa ambayo haina mbadala timilifu kukosa wateja inapopanda bei.
Ndio maana tunasisitiza sana kuwe na ushindani wa wachimbaji wa gesi yaani isiwe from a single source. Na umeme pia kuwe na producer wa umeme cheap zaidi ya huu wa tanesco. Ili tumfunze adabu tanesco ashushe bei.
Tulia mkuu, Tunaiponya Nchi!This is too much!
Bado kuwekewa tozo ya pumzi tunayovuta [emoji1]
Tutanyanyaswa mpaka lini?
Tuamke watanzania, gesi ipo Mtwara tena ya kumwaga, hayo mambo ya kutangazia kuwa bei imepanda wawatangazie mabeberu
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani
---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Mnapanda watu juu ya vichwa na kuwafananisha na mbweha siyo? Kweli kila kwenye watu 4 mmoja mirembe day mimeaminiTafuta hela wewe uache kulialia kama mbweha kwa vitu vidogo vidogo
Natumaini kimepata dawaMpaka kiuno kinauma
Mungu wangu kwanini wasishushe kodi ili bei isipandeMamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani
---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Ulikuwa unajifanya kumpinga magufuli nikajua una sababu za msingi kumbe chizi tu lililokosa fursa.Tafuta hela wewe uache kulialia kama mbweha kwa vitu vidogo vidogo