myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Hujui kitu wewe....alikua anayafata Uarabuni na trenii!!!...Yapo Sana magu alishusha wez mpk 16000 deseli magu na sifa zake alishindwa nn kipindi hicho kupeleka 2200
Ukinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!Yapande tu. Mbona tunanunulia mademu Savanna moja@5,000/=? Hapo bado lodge, kondomu na UKIMWI unaweza kupata vile vile
Utakutana nacho kesho asubuhiChanzo cha taarifa tafadhali
Mshauri mkuu ni mchumi wa first class,Mwigulu Nchemba what do you expect??Kazi ipo.
Yaani ndani ya mwezi mmoja bei imeongezeka kwa zaidi ya shilingi 800.
Huyu mama hana mbinu yoyote ya kukabiliana na mfumo wa bei, bando bei ghali, mafuta bei ghali, mshahara haiongezeki miaka 7.
Hii nchi sijui nani alituroga.
Wenye shule (wasomi) ndo mmepandisha/mmepandishiwa mafuta mkatulia Kama kitimoto. Mm Ngumbaru najionea sawa tuUkinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!
Biashara ya mafuta inalipa (Motivational Speaker, 2022).Utakutana nacho kesho asubuhi
Na wameshikilia Ardhi ya Nchi yote-kiufupi Kikwete family & wenzake wametuweza.Tukimlaumu Rais samia tunamuonea tu nina uhakika huyu mama mambo mengi ya Tanzania hayajui
Rais samia anamsikiliza mstaafu katika kuongoza nchi na teuzi nyingi anapangiwa na mzee na mama analipa fadhila kwani ndiye aliyempa umakamu wa Rais uliopelekea akaupata uRais
Ndugai yale maneno hakuropoka anajua nchi imeharibika
Hili kundi linaiba pesa litakalowafanya uchumi ubaki kwa watu 15 tu na ndio watakuwa na maamuzi ya siasa za Tanzania
Wameshamiliki chama
Wameshamiliki uchumi
Wameshamiliki media kubwa
Watamiliki nishati
Wanamiliki biashara
Magufuli umekufa na ndoto zako baba za kuifanya tanzania kuwa nchi ya usawa
Huko Katavi kuna sehemu ni 3375 angalua vizuri.Katav 3349 kutoka 2200 utawala ule
We ni mjinga..Hamna watu wanajua kujiliza liza kama
Bodaboda
Bajaj
Daladala
Machinga
Graduates
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ulishajiuliza kwa nini Serikali zipo,hapo katika mafuta kuna Kodi nyingi sana-kama Serikali unajua fika kwamba uchumi wa wananchi wako hauendani na ongezeko la bei unatakiwa ukae chini uanze kupunguza hizo kodi na hata Ku subsidies.Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuzuia wa bei mafuta..
Posho za wkubwaMafuta kwenye soko la dunia hayajapanda bali yameshuka kidogo, Ila usiniulize kwa nn bongo yamepanda
Nimeandika mahali hapa..Serikali ikipunguza matumizi yake yasiyo ya lazima itapunguza kodi hasa zinazojirudia, na kupelekea bidhaa nyingi bei kushuka....hilo muhimu sana.Hivi ulishajiuliza kwa nini Serikali zipo,hapo katika mafuta kuna Kodi nyingi sana-kama Serikali unajua fika kwamba uchumi wa wananchi wako hauendani na ongezeko la bei unatakiwa ukae chini uanze kupunguza hizo kodi na hata Ku subsidies.
Lasivyo unakuwa unaua uchumi wa Nchi kwa kupunguza production ya bidhaa na huduma.
We uko kundi gani hapo boss?We ni mjinga..
Mbona mkuu hiyo ipo na wengi tu wanajuwa hiyo formula ya kutumia mafuta machafu yaliyokaangiwa chips . Tatizo ni kwamba wakuu wenyewe wa dunia wameyaoiga ban. Ukikamatwa gari yako unatumia hayo unapigwa kesi ya kukwepa kodi na kuharibu mazingira. Mind you mafuta yana kodi kubwa sana inaowanufaisha wenye dunia!Hivi hamna mtu amefanikiwa kutengeneza gari inayotumia mafuta ya 🐖 🐽?
Serikali ipi ya kupunguza matumizi ya lazima?Nimeandika mahali hapa..Serikali ikipunguza matumizi yake yasiyo ya lazima itapunguza kodi hasa zinazojirudia, na kupelekea bidhaa nyingi bei kushuka....hilo muhimu sana.
Huyu wa sasa aliongeza sh 100Ni sahihi tozo ni kubwa. Ila zilikuwepo hata raisi aliepita..kumlaumu huyo sio sahihi. Ni muda wa kuangalia jinsi ya kufanya adjustment...Njia nzuri kwa nchi yetu kuleta nafuu ni Serikali kupunguza matumizi yake ili kupunguza pia baadhi ya kodi..Serikali ikiwa na matumizi makubwa hupelekea kila wakati kuongeza tozo na tozo za kujirudia.
Numbisa njoo uchangie jirani yangu.
Wambie wapumbavu wale waache kupeleka silaha UkraineTunalipia madhara ya vita!!...
Halafu kuna watu wanasifia Urusi kuvamia nchi nyingine....