EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Yapo Sana magu alishusha wez mpk 16000 deseli magu na sifa zake alishindwa nn kipindi hicho kupeleka 2200
Hujui kitu wewe....alikua anayafata Uarabuni na trenii!!!...
Tafuta data kwenye soko la dunia bei ya pipa 2018 halafu 2022 halafu ulete tofauti..
 
Inakuwaje bei ya diesel inakuwa kubwa kuliko petrol sijawhi kuona hii,anaelewa anifahamishe kulikoni??
 
Yapande tu. Mbona tunanunulia mademu Savanna moja@5,000/=? Hapo bado lodge, kondomu na UKIMWI unaweza kupata vile vile
Ukinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!
 
Kazi ipo.

Yaani ndani ya mwezi mmoja bei imeongezeka kwa zaidi ya shilingi 800.

Huyu mama hana mbinu yoyote ya kukabiliana na mfumo wa bei, bando bei ghali, mafuta bei ghali, mshahara haiongezeki miaka 7.

Hii nchi sijui nani alituroga.
Mshauri mkuu ni mchumi wa first class,Mwigulu Nchemba what do you expect??
 
Ukinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!
Wenye shule (wasomi) ndo mmepandisha/mmepandishiwa mafuta mkatulia Kama kitimoto. Mm Ngumbaru najionea sawa tu
 
Tukimlaumu Rais samia tunamuonea tu nina uhakika huyu mama mambo mengi ya Tanzania hayajui

Rais samia anamsikiliza mstaafu katika kuongoza nchi na teuzi nyingi anapangiwa na mzee na mama analipa fadhila kwani ndiye aliyempa umakamu wa Rais uliopelekea akaupata uRais

Ndugai yale maneno hakuropoka anajua nchi imeharibika

Hili kundi linaiba pesa litakalowafanya uchumi ubaki kwa watu 15 tu na ndio watakuwa na maamuzi ya siasa za Tanzania

Wameshamiliki chama
Wameshamiliki uchumi
Wameshamiliki media kubwa
Watamiliki nishati
Wanamiliki biashara

Magufuli umekufa na ndoto zako baba za kuifanya tanzania kuwa nchi ya usawa
Na wameshikilia Ardhi ya Nchi yote-kiufupi Kikwete family & wenzake wametuweza.
 
Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuzuia wa bei mafuta..
Hivi ulishajiuliza kwa nini Serikali zipo,hapo katika mafuta kuna Kodi nyingi sana-kama Serikali unajua fika kwamba uchumi wa wananchi wako hauendani na ongezeko la bei unatakiwa ukae chini uanze kupunguza hizo kodi na hata Ku subsidies.
Lasivyo unakuwa unaua uchumi wa Nchi kwa kupunguza production ya bidhaa na huduma.
 
Hivi ulishajiuliza kwa nini Serikali zipo,hapo katika mafuta kuna Kodi nyingi sana-kama Serikali unajua fika kwamba uchumi wa wananchi wako hauendani na ongezeko la bei unatakiwa ukae chini uanze kupunguza hizo kodi na hata Ku subsidies.
Lasivyo unakuwa unaua uchumi wa Nchi kwa kupunguza production ya bidhaa na huduma.
Nimeandika mahali hapa..Serikali ikipunguza matumizi yake yasiyo ya lazima itapunguza kodi hasa zinazojirudia, na kupelekea bidhaa nyingi bei kushuka....hilo muhimu sana.
 
Hivi hamna mtu amefanikiwa kutengeneza gari inayotumia mafuta ya 🐖 🐽?
Mbona mkuu hiyo ipo na wengi tu wanajuwa hiyo formula ya kutumia mafuta machafu yaliyokaangiwa chips . Tatizo ni kwamba wakuu wenyewe wa dunia wameyaoiga ban. Ukikamatwa gari yako unatumia hayo unapigwa kesi ya kukwepa kodi na kuharibu mazingira. Mind you mafuta yana kodi kubwa sana inaowanufaisha wenye dunia!
 
Ni sahihi tozo ni kubwa. Ila zilikuwepo hata raisi aliepita..kumlaumu huyo sio sahihi. Ni muda wa kuangalia jinsi ya kufanya adjustment...Njia nzuri kwa nchi yetu kuleta nafuu ni Serikali kupunguza matumizi yake ili kupunguza pia baadhi ya kodi..Serikali ikiwa na matumizi makubwa hupelekea kila wakati kuongeza tozo na tozo za kujirudia.

Numbisa njoo uchangie jirani yangu.
Huyu wa sasa aliongeza sh 100
 
Inasemekana kupanda kwa bei ya mafuta kumetokana na vita vya ukraine na urusi, kama ni hivyo serikali ichukue hatua kwa kipindi hiki kudhibiti mfumuko wa bei ya mafuta, inaweza kufanya hivyo kwa kupunguza kodi zake (kwa kipindi hiki cha vita) au ikasubsidize ile tofauti ya kupanda ili mradi ikeep constant bei ya mafuta kwa kipindi hiki cha vita. Kwa sababu kama mafuta yatapanda obviously yatapandisha bei ya bidhaa zingine kama usafiri, vyakula n.k kwa kweli mimi naona serikali na wataalam wake wakae waone hili linafanyikaje au waone mifano ya wenzetu wanafanyaje. Kuna kipindi mafuta huko zambia yalikua bei chini kuliko hapa yanakpitia sasa ni kuangalia huko wenzetu walifanyaje je hawatozi kodi? au nini kilifanyika?
 
Back
Top Bottom