Kama ulisikiliza kipindi cha kipima joto kuhusu kupanda kwa bei ya walishaelezea mwezi bei zitaongezeka.
Sababu zilizotolewa ni za msingi kwa mfumo wa manunuzi, mafuta yanayotumika leo yalinunuliwa wakati ipo juu kidogo mwezi wa tatu.
All in all mfumo wa ‘bulk procurement’ inabidi waufanyie assessment una mazuri yake kwa upande wa serikali kuhakikisha wana uwezo wa ku control supply.
Alikadhalika una mapungufu yake kwenye procurement strategies, kununua kwa mwezi kuna wanyima waagiza advantage za price hedging.
Ukiwa reliable buyer unaweza strike long term deals za kupata mafuta kwa bei fulani ata bei zikipanda proportion yako inalipa chini ya bei za soko. Bulk procurement inazuia ubunifu na ushindani wa biashara mfanyabiashara awezi ata average costing za inventory ajipe advantage na kutumia mbinu zingine za ushindani.
Unaweza elewa kwanini serikali iliamua kwenda na Bulk procurement kutokana na masahiba ya huko nyuma kushindwa ku monitor reserves and supplies; but surely inahitajika amendments kwenye supply control baada ya kuwasikiliza na kuwaelewa umuhimu wake lakini huu mfumo unaondoa ubunifu pia wa ushindani na kupata good deals sokoni.
Kuna mambo ya taasisi kufanya overlapping works na zenyewe zinategemea mafuta, serikali kujitwika mzigo wa investment wakati port inatumiwa na rwanda, Burundi, congo, Zambia ata wao mafuta yao yakija meli ina wa-charge demmurage za siku do investments ambazo wanaweza changia bure.
Hii nchi ina mambo mengi