EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Mafuta kwenye soko la dunia hayajapanda bali yameshuka kidogo, Ila usiniulize kwa nn bongo yamepanda
Na ushahidi kabisa hapo
Screenshot_20220504-012019_MetaTrader%204.jpg
 
Kama ulisikiliza kipindi cha kipima joto kuhusu kupanda kwa bei ya walishaelezea mwezi wa tano bei zitaongezeka.

Sababu zilizotolewa ni za msingi kwa mfumo wa manunuzi, mafuta yanayotumika leo yalinunuliwa wakati bei ipo juu kidogo mwezi wa tatu.

All in all mfumo wa ‘bulk procurement’ inabidi waufanyie assessment una mazuri yake kwa upande wa serikali kuhakikisha wana uwezo wa ku control supply ni swala muhimu kwa usalama wa uchumi.

Alikadhalika una mapungufu yake kwenye procurement strategies, kununua kwa mwezi kuna wanyima waagiza advantage za price hedging.

Ukiwa reliable buyer unaweza strike long term deals za miezi sita ata mwaka (depending na muuzaji) kupata mafuta kwa bei za price ‘ceiling and floor’ bei zikipanda na kushuka chini ya bei za soko.

Kwa sasa Bulk procurement inazuia advantages hizo pamoja na ushindani wa biashara.

mfanyabiashara inakuwa ngumu kutumia average costing za inventory ajipe advantage sokoni kupambana na ushindani au kutumia mbinu zingine za kujipa advantage.

Unaweza elewa kwanini serikali iliamua kwenda na Bulk procurement kutokana na masahiba ya huko nyuma kushindwa ku monitor reserves and supplies; but surely inahitajika amendments kwenye supply control baada ya kuwasikiliza na kuwaelewa umuhimu wake lakini huu mfumo unaondoa ubunifu pia wa ushindani na kupata good deals sokoni.

Kuna mambo ya taasisi kufanya overlapping works na zenyewe zinategemea tozo za mafuta, serikali kujitwika mzigo wa investment kwenye mabomba ya kupokea mafuta wakati port inatumiwa na rwanda, Burundi, congo, Zambia ata wao mafuta yao yakija meli zao zina wa-charge demmurage za siku. So kuna investments ambazo na wao wanaweza changia bure it’s in their interest too.

Hii nchi ina mambo mengi vitu vingine ukisikiliza unashindwa kuelewa baadhi ya watu hizo nafasi wamezipata vipi, ukiwasikiliza hawana majibu kabisa ya changamoto za sector zao zaidi ya kuongelea mambo ya kukariri.
 
Kama ulisikiliza kipindi cha kipima joto kuhusu kupanda kwa bei ya walishaelezea mwezi bei zitaongezeka.

Sababu zilizotolewa ni za msingi kwa mfumo wa manunuzi, mafuta yanayotumika leo yalinunuliwa wakati ipo juu kidogo mwezi wa tatu.

All in all mfumo wa ‘bulk procurement’ inabidi waufanyie assessment una mazuri yake kwa upande wa serikali kuhakikisha wana uwezo wa ku control supply.

Alikadhalika una mapungufu yake kwenye procurement strategies, kununua kwa mwezi kuna wanyima waagiza advantage za price hedging.

Ukiwa reliable buyer unaweza strike long term deals za kupata mafuta kwa bei fulani ata bei zikipanda proportion yako inalipa chini ya bei za soko. Bulk procurement inazuia ubunifu na ushindani wa biashara mfanyabiashara awezi ata average costing za inventory ajipe advantage na kutumia mbinu zingine za ushindani.

Unaweza elewa kwanini serikali iliamua kwenda na Bulk procurement kutokana na masahiba ya huko nyuma kushindwa ku monitor reserves and supplies; but surely inahitajika amendments kwenye supply control baada ya kuwasikiliza na kuwaelewa umuhimu wake lakini huu mfumo unaondoa ubunifu pia wa ushindani na kupata good deals sokoni.

Kuna mambo ya taasisi kufanya overlapping works na zenyewe zinategemea mafuta, serikali kujitwika mzigo wa investment wakati port inatumiwa na rwanda, Burundi, congo, Zambia ata wao mafuta yao yakija meli ina wa-charge demmurage za siku do investments ambazo wanaweza changia bure.

Hii nchi ina mambo mengi
Ikiwa tunayitumia yalinunuliwa nwezi wa tatu, basi basi ya mwezi uliopita na mwezi huu ilipaswa kuwa sawa
 
Awamu hii matatizo yanatengenezwa na wajanja ili watupige.

Ni upigaji tu unaendelea nothing else.
 
Unachosema ni ukweli 100%

Kwenye hili mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, tatizo sio la serikali tu.

Uwezi kukataa external influences kwenye bei ya mafuta; lakini na wao serikalini wanaongeza matatizo kwa mifumo yao mibovu ya usimamizi and investments decisions which narrows on avenue source to their projects.
 
Ikiwa tunayitumia yalinunuliwa nwezi wa tatu, basi basi ya mwezi uliopita na mwezi huu ilipaswa kuwa sawa
Angalia hapo bei mwezi wa tatu yalifika karibu na $130 a barrel, kumbuka hiy ni crude price; refined itakuwa juu zaidi ndio tunayoagiza.

Sidhani kama kuna njama zozote kwenye mafuta za kumuumiza mtanzania; ila policy zao mbovu it must be said zinachangia pia bei kuwa juu.
 
Back
Top Bottom