Mbitiyapi01
Member
- Apr 25, 2022
- 78
- 251
Muwogo...Tehteh muhogo je ,tutauitaje
Au muhoho
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwogo...Tehteh muhogo je ,tutauitaje
Au muhoho
Ova
Shule alienda lakini kuuza visheti sio kusoma usimlaumu ...shule alienda na nilikuwa namuona anauza visheti na barafu.Ukinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!
Kwamba mafuta yalikuwa ya importation ya march bei zikiwa juu LAKINI ndani tukauziwa bei nafuu..ila sasa duniani bei zimeshuka LAKINI ndani bei zimepanda !!?? Na diesel imekuwa bei zaidi ya Petrol!!? Umetumia principle Gani au theory Gani ya uchumi kuelezea haya!!??Kama ulisikiliza kipindi cha kipima joto kuhusu kupanda kwa bei ya walishaelezea mwezi wa tano bei zitaongezeka.
Sababu zilizotolewa ni za msingi kwa mfumo wa manunuzi, mafuta yanayotumika leo yalinunuliwa wakati bei ipo juu kidogo mwezi wa tatu.
All in all mfumo wa ‘bulk procurement’ inabidi waufanyie assessment una mazuri yake kwa upande wa serikali kuhakikisha wana uwezo wa ku control supply ni swala muhimu kwa usalama wa uchumi.
Alikadhalika una mapungufu yake kwenye procurement strategies, kununua kwa mwezi kuna wanyima waagiza advantage za price hedging.
Ukiwa reliable buyer unaweza strike long term deals za miezi sita ata mwaka (depending na muuzaji) kupata mafuta kwa bei za price ‘ceiling and floor’ bei zikipanda na kushuka chini ya bei za soko.
Kwa sasa Bulk procurement inazuia advantages hizo pamoja na ushindani wa biashara.
mfanyabiashara inakuwa ngumu kutumia average costing za inventory ajipe advantage sokoni kupambana na ushindani au kutumia mbinu zingine za kujipa advantage.
Unaweza elewa kwanini serikali iliamua kwenda na Bulk procurement kutokana na masahiba ya huko nyuma kushindwa ku monitor reserves and supplies; but surely inahitajika amendments kwenye supply control baada ya kuwasikiliza na kuwaelewa umuhimu wake lakini huu mfumo unaondoa ubunifu pia wa ushindani na kupata good deals sokoni.
Kuna mambo ya taasisi kufanya overlapping works na zenyewe zinategemea tozo za mafuta, serikali kujitwika mzigo wa investment kwenye mabomba ya kupokea mafuta wakati port inatumiwa na rwanda, Burundi, congo, Zambia ata wao mafuta yao yakija meli zao zina wa-charge demmurage za siku. So kuna investments ambazo na wao wanaweza changia bure it’s in their interest too.
Hii nchi ina mambo mengi vitu vingine ukisikiliza unashindwa kuelewa baadhi ya watu hizo nafasi wamezipata vipi, ukiwasikiliza hawana majibu kabisa ya changamoto za sector zao zaidi ya kuongelea mambo ya kukariri.
Sio la kidunia ni kukosa vision tu niliona siku moja bungeni kuwa selikari haina reserve hata Lita moja je utawezaje ku subsidize market?US napo Biden aondoke? Maana huko pia mafuta yamepanda bei,hili ni tatizo la kidunia kwenye world market.
Hii ndo kazi wanayoiweza iwera kutangaza bei mpyaMafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
View attachment 2210381
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa Dar, na kwa Tanga watanunua kwa Tsh. 3,264. Mtwara watauziwa kwa Tsh. 3,309 kwa lita.
Mafuta ya taa hayako nyuma ambapo bei ya lita kwa Dar itakuwa Tsh 3,112. Mikoa mingine itakuwa na bei kutokana na hesabu zitakvyofanyika.
EWURA wamesema mabadiliko ya bei katika soko la dunia yamesababisha 93% ya mabadiliko ya bei
Bei za Jumla
Port Petrol
(TZS/Litre)Diesel
(TZS/Litre)Kerosene
(TZS/Litre)DAR ES SALAAM 3,015.88 3,125.18 2,980.56 TANGA 3,028.72 3,131.39 -- MTWARA 3,044.88 3,176.87 --
View attachment 2210436
View attachment 2210437
View attachment 2210438
View attachment 2210439
View attachment 2210440
Ndio bei kwenye soko WENDA ipo juu ila kwetu inakua juu Mara dufu kisa mitozo ya kijinga,Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
View attachment 2210381
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita.
Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa Dar, na kwa Tanga watanunua kwa Tsh. 3,264. Mtwara watauziwa kwa Tsh. 3,309 kwa lita.
Mafuta ya taa hayako nyuma ambapo bei ya lita kwa Dar itakuwa Tsh 3,112. Mikoa mingine itakuwa na bei kutokana na hesabu zitakvyofanyika.
EWURA wamesema mabadiliko ya bei katika soko la dunia yamesababisha 93% ya mabadiliko ya bei
Bei za Jumla
Port Petrol
(TZS/Litre)Diesel
(TZS/Litre)Kerosene
(TZS/Litre)DAR ES SALAAM 3,015.88 3,125.18 2,980.56 TANGA 3,028.72 3,131.39 -- MTWARA 3,044.88 3,176.87 --
View attachment 2210436
View attachment 2210437
View attachment 2210438
View attachment 2210439
View attachment 2210440
Hizi dalili za mfumko wa bei na wa ajabu tuliona mapema Sana ,tukauliza hum jf , wakaja wachumi uchwara na kuanza kuleta shule zao uchwara wanazoamini kupitia vyeti, Sasa kiko wapi , KWa speed hii lt itaenda fika elf 5000Anaupiga mwingi
Sasa wanavoandika kizungu hivi wanamuandikia nani asome? wananchi?Nimekuambia tumia akili nikijua akili unazo.
Haya hiyo hapo taarifa ya ewura
View attachment 2210428
Alafu utawasikia wakisifia , ujinga ujinga tuKazi ipo.
Yaani ndani ya mwezi mmoja bei imeongezeka kwa zaidi ya shilingi 800.
Huyu mama hana mbinu yoyote ya kukabiliana na mfumo wa bei, bando bei ghali, mafuta bei ghali, mshahara haiongezeki miaka 7.
Hii nchi sijui nani alituroga.
Kwa hiyo unatakaje yaani ùshike sharubu za dubu uachwe kwakuwa mafuta yatapanda?Tunalipia madhara ya vita!!...
Halafu kuna watu wanasifia Urusi kuvamia nchi nyingine....
Bora kukoma Mara mia kulikosikia jina Ili, mbwai mbwai potelea mbaliMkome watz mkome!
Yote haya yanafanyika sababu nyie ni wapumbavu mno!
Endeleeni kupambana na maiti ya Magufuli.
Mkuu Sasa wewe mbona kutosifia urusi kwako hakujapelekea Vita kukoma? Kwa akili zako unaamini kuisifia urusi ndo kunapekelea mafuta kupanda Bei,?Tunalipia madhara ya vita!!...
Halafu kuna watu wanasifia Urusi kuvamia nchi nyingine....
Tumia Ubongo kufikiri badala ya makalio .. watawala wako wanapiga HelaTunalipia madhara ya vita!!...
Halafu kuna watu wanasifia Urusi kuvamia nchi nyingine....