Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapendeza? Ha haaa kumbe unafurahia serikali inavyo gombanisha watu?Safi sana, inapendeza...
Hakika, serikali inatuchonganisha sana aisee...Inapendeza? Ha haaa kumbe unafurahia serikali inavyo gombanisha watu?
Hahaha emu acha kuisingizia..Hakika, serikali inatuchonganisha sana aisee...
Inabidi mvumilie tu hivyo hivyo...
Mapambano na misimamo daima... Kitaeleweka tu...Hahaha emu acha kuisingizia..
Tupambane na hali…
Ila daah!! Hatujamaliza lile, ghafla linakuja hili la mafuta kupanda, sasa unadhani lile litakamilishwaje...Hahaha emu acha kuisingizia..
Tupambane na hali…
Linatakiwa kuanza kukamilishwa lililotangulia 😜😜Ila daah!! Hatujamaliza lile, ghafla linakuja hili la mafuta kupanda, sasa unadhani lile litakamilishwaje...
Sorry nikurekebishe tu by record. Kwanza sweden na finland majuz tu wame request kujiunga NATO. As we speak wako kwenye mazungumzoRais wa Ukraine ni fala tu, kutojiunga kwake na NATO kunampunguzia nini? Wasweden na Wafini wame-enjoy amani na Urusi kwa miaka mingi kwa sababu ya kutojiingiza kwenye mafungamani na NATO, leo wako roho juu kwa sababu ya kujiingiza kwenye mgogoro wa Russia vs Ukraine kwa kupeleka silaha Ukraine au kutaka kujiunga na NATO. Kupanga matumizi kwa kipato ambacho jirani ameahidi kukusaidia ni ujinga. Hao Marekani na wenzao wanachofanya ni kupeleka silaha tu kwa Ukraine ili vita iendelee wakati wao wako pembeni wanasubiri kuwapelekea ankara ya gharama za silaha mara vita vikiisha.
Ukraine wameingia gharama kubwa sana kwenye vita hii, kama wangechagua kubaki na msimamo wa awali hii vita isingekuwepo. Itawagharimu sana kuijenga upya miundimbinu yao na hakuna gharama ya kufidia uhai wa watu wao.
Vv
Kwamba wasikae tu wasijilinde? Yaan adui aingie kwenye ardgi yao wabaki wanacheka cheka tu kijinga?Walilikoroga walitakiwa wakubali kipigo.
Kua makini tu balabalani maana uendeshaji wa bodaboda wa TZ unaujua.Kesho mapema sana naenda kununua baiskeli gari napaki nyumbani kwanza baiskeli nitakuwa nafanya na mazoezi
Inasikitisha sana... Ndiyo tushachonganishwa na mafuta tayari...Linatakiwa kuanza kukamilishwa lililotangulia 😜😜
Wachana na mafuta, mwendokasi upo.
Mafuta kwenye soko la dunia hayajapanda bali yameshuka kidogo, Ila usiniulize kwa nini bongo yamepanda
Sijaribu kumtetea lakini sababu ya vitu kupanda kipindi hiki zinajulikana.Hiyo sukari 3500 unaopata wali wewe fala? Walipopamdisha uliona Magufuli alichukua hatua gani? Ongelea huyo bibi yako! Vitu vyote vimepanda bei hata kabla ya vita ya Ukraine!
🤣🤣🤣 naja kukubonda wallah…Inasikitisha sana... Ndiyo tushachonganishwa na mafuta tayari...
Karibu Cha utundu 😜😜🤣🤣🤣 naja kukubonda wallah…