antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwani nchi jirani kama Zambia na Kenya wanafanyaje mafuta yanakuwa bei rahisi kuliko Tanzania, au wao wana visima vyao vya mafuta?!!Zaidi ya dar kote mafuta yatakuwa 3000+ hapo ndio wameshusha kwa mbwewe hakuna kipya..
Maana yangu ni kuwa wamejitahidi kupunguza hata kufikia 300Kwahiyo tunaposema bil 100 za Samia zilipaswa kupunguza bei ya mafuta kwa zaidi ya sh 300 usituletee utetezi kwa kuleta mfano wa nchi ya Kenya.
Mafuta ni kama hayajashuka, hiyo 2994(3000) bado ni kubwaAbiria kuweni na ushirikiano lipeni mia nne bei zamani, msiwe watoto mayai kila kitu kufanyiwa.
Bei imepungua kwa 300? Sio kweliMaana yangu ni kuwa wamejitahidi kupunguza hata kufikia 300
Bado ipo juu sana, haitapunguza bei ya mafuta ya kula tuunge Dagaa.
Namkumbuka mwalimu wangu mmoja O'level, aliingia darasani siku moja na kumkuta mwenzetu mmoja amelala. Akamwamsha, 'You, your presence or absence makes no difference, you can get out.'Sioni Jipya
Hahahaaha..Punguzo ni shilingi 150 sio 300.
Petroli Dar ni 3,148 na sio 3300.
Ewura wametoa taarifa ya uongo.
Sahau iloNauli itashuka au ndo imekula kwa abiria
Ujinga sio huo tu, hii Dar, ni sehemu gani mafuta ya Petrol yalikuwa yakiuzwa kwa sh 3,301?Sijawahi kuona raia wapumbavu kama Watanzania asee. Yani mnashangilia eti "mama anaupigwa mwingi?" Hizo Billion 100 amezitoa mfukoni mwake au?
Aaahh huu ni ujinga mkubwa kabisa.