Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Hahahahahah
Aiseee nimecheka basi tuu

Pole mkuu๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜‚
 
Ukitaka kumkera To yeye mletee story kama hizi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ inaonyesha alipigwa na kitu kizito hatari
 
Vampire huyo
 
Dah hiki kisa ni kiboko!
Nadhani nawe mkuu ulikuwa tayari unejiandaa kisaikolojia vya kutosha.

Maana jambo hilo huleta mtikisiko pande zote, lakini kwako ulilitekeleza kirahisi sana.

Kwa hiyo ulilipanga jambo hilo kitambo sana kabla ya tukio.
Lakini je kutoka Lodge hajakutaim namna ya kugawana fito, ulimuwahi getto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ