Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Kwa hiyo mkuu Una makovu kwenye kongomelo
 
Alitaka niwe weak kwake,
Alitaka nimpende kupita kiasi, kwake nisitumie akili, nitumie Hisia.
Kwa kifupu alitaka kuniletea mapenzi ya tamthilia kwa kigezo niwe gentle, nikamwambia tafuta vilaza na malofa wenzio hadi utakapopata akili utanishtua
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahahaha mkuu usinge kuwa mkali ungekubaliana na Hali tuuu Una date malayaaa
 
Nimejenga picha!

Mapenzi ya panzi sasa hayo, yaani kanuni jike lazima liwe tough, halafu kadume kimbaumbau urahisi wa kupanda na kubebwa!

Mwanamke anayekuzidi nguvu, huleta matokeo hasi unapokabiliiana naye lazima hilo ulijue.

Unashauriwa kuchagua kifurushi ulicho na uwezo nacho kukibeba.

Kwa mtindo huo wanaume wataendelea kupigwa sana na wake zao maana hakuna namna!
 
Hahahaha hebu kwanza nicheke

Nilimwambia nataka kuja kwenu nijitambulishe nikuo si uko tayari, akasema oooh mama alisema mpaka nisome nimalize digrii ndio niolewe kwa sasa hawezi kuelewa, kwani huwezi nivumilia mpaka nimalize? Nikamwambia hiyo digrii utasomea kwangu akasema haiwezekani basi nikampa mkono wa kwaheri, baada ya miez kam minne mbele nikasikia ni mjamzito, baada ya mwaka ana mtoto akaanza kuitafuta kama bado sijaoa. Nikamwambia sijaoa ila ni mtu ambaye tayari nimemlipia mahari. Mpka leo ni single maza wa miaka 31 sasa
 
Wabongo hatuachani tunapumzishana 😹
Umeifunga mada mkuu.

Penzi halina talaka nimeshaona sana hiyo.

Namna watu wanavyoachana wawezasema hawa hata wakikutana njiani hawawezi semeshana!

Baadaye unakuta wapo pamoja tena wanakulakula tu sangara!

Nadhani performance ya kitandani hufanya watu wang'ang'aniane washindwe kusahauliana!
 
Alihamia dodoma, mapenzi ya mbali labda wafilipino sio mimi mngoni
Sasa huyo hamjaachana.

Siku mkikutana waalah penzi litaanza upya, hasa wewe utatamani kupata vionjo vipya alivyojifunza akiwa haupo naye.
 
Na hiyo ndio ubaya ubwege
 
KENZY hukwenda polisi mkuu
 
Da alikua anamchezea kambale kwenye maji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…