Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Wewe huyo mwanamke ndio hatma yako na najua unajisikia amani ukiwa naye..!!

Sema dunia una unafki mwingi, ukute na mkeo naye kuna njemba inamkaza, na huyo jamaa unayemgongea mke wake naye ana mwanamke mwingine wanafanya mnachofanya..!!

Hapo mmoja akileta ngoma mmeisha, mnaambukizana vibaya..!!
 
Sio mchezo mkuu ila mwaka huu naona tutaachana rasmi maana january nitakua ughaibuni huko nikachukue masters yangu ikibidi nitulie huko mpaka nikunje na phd kabisa.
 
Sio mchezo mkuu ila mwaka huu naona tutaachana rasmi maana january nitakua ughaibuni huko nikachukue masters yangu ikibidi nitulie huko mpaka nikunje na phd kabisa.
Hapo hamuachani Ila mnapumzika coz mko mbali bhana weeh 😹😹

Hilo li-mechi la kuagana sasa.!! Km nawaona 🤣😹😹
Unirushie hata ka-clip mkuu.
 
Ulirogwa mkuu.. Mpk kubadili dini..??? Hatarii
 
Sio mchezo mkuu ila mwaka huu naona tutaachana rasmi maana january nitakua ughaibuni huko nikachukue masters yangu ikibidi nitulie huko mpaka nikunje na phd kabisa.
Huo muda wa kusoma soma ungeutumia kutafuta pesa mkuu...It doesn't take a master's degree for smart one to be rich...All you need is ordinary degree! Dunia inahitaji ubunifu zaidi sio mrundikano wa degrees..Wasomi wengi wamekufa masikini Kwa kutumia muda mwingi shuleni! Imagine unasoma hadi PHD alafu unarudi kulipwa salary 5M or 7M..Unless kama unasoma kwa ajili prestige ( sifa) lakini bachelor degree inatosha ikiwa wewe ni husler
 
hUu ujasiri wa kumtafuta mwanaume wakat wameshapigwa mimba huwa wanaupata wapi

Unajua zaman nilikuwa naona wanaume wakisimulia nikawa naona sio kweli haiwezekan,mtu anarudije wakat kakusaliti na kapigwa mimba na mtoto yupo nae

Ila kuna siku hii kitu imenikuta ndo nikaamin kweli kuna watu ni wajasiri,yaan mtu anaondoka kwa mbwembwe baadae eti anaomba arudi na wakati yupo na mtoto tayar
 
Siku hiyo hata Cocktail haikupita mkuu ingawa koo liliwasha upige hata tatu 🤣🤣
Wapi mkuu Min me
 
Mkuu ni kweli unalosema uko sahihi kabisa japo kila mtu ana vipaumbele vyake.
 
Kwa kweli ex wangu popote ulipo kama bado Mery unatabia ile ya kujamba kuanzia mwanzo wa game mpaka mwisho aisee nna uhakika mpaka sas utakuwa umeachwa na wanaume si chini ya watatu...imagine mtu anajamba kuanzia mwanzo wa mgegedo mpaka mwisho,yan ni ushuzi unanuka ******* aisee....nikaamua kupiga chini shit
 
Mkuu huyo alikua ana chaguo lake la kwanza na wewe ni chsguo lake la pili. Ndiyo maana baada ya Muezi 4 kuachana akapata mimba, Mwanamke anaekupenda na Mwenye hofu ya Mungu ukimuacha anachelewa kwenye kuingia kwenye Mahusiano mapya, Ndiyo maana huyo wako baada kuona aliyekua anamtaka hajamuoa no kama mimba ikabidi arudi mbio mbio kwa chaguo la pili ambalo ni wewe, Wanawake akili zao fupi yani wewe uzalishwe na Mwingine ndoa uitafute kwa Mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…