Utajiri wa Musk unaohesabiwa ninule wa kwenye hisa za Tesla.Mond itakua hajui $1B ikoje,sasa musk ana 150+,mo dewj 1.5, alifanikiwa kufika $2B atajua shughuli ya kumfikia dangote mwenye 13 achilia mbali musk, tatizo katokea umasikini wa kutupwa,alichonacho anaona kingi
Watanipika kweli kweli leoHapa.mkuu.umegusa pabaya, hapa wapenzi wa kufa kuzikana wa diamond watakujakwa fujo zote hapa kutema nyongo [emoji1787]
Beyonce na hao wenzie uliowataja wana endorsements kibao hadi za Sumsung na Pepsi.Kama kweli ana nia ya utajiri, aanze kuonesha dalili.
- Endorsement (hivi mtu Kama Beyonce, Jayz, Kanye West ) huwa wanapokea endorsement za makampuni mengine. Kupokea endorsement mpaka ya jezi ni tafsiri ya njaa.
-- Media haiwezi kumpa huo utaniri maana inategemea zaidi UCHAWA na kupata pesa za serikali
+----+++
Matajiri wakubwa wako kwenye biashara za Teknolojia, nishati safi (mafuta yanakufa), uvumbuzi, anga za mbali etc.
Sasa Diamond ambaye hata mziki wake anategea kuuza YouTube, Spotify, Boomplay, Deezer tena kupitia madalali (aggregate) siyo moja kwa moja anawezaje kuwa tajiri wa kwanza hata East Africa tu???
Nigga una roho mbaya kichizi. wtf blood clot. Hivi unakaa kwa amani na majirani walokuzidi kipato?Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Usijekuwa unaoongea hapa wakati bando umekopa na unadaiwa mkopo wa pesa x 20kDiamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
keruu Wanawake Mungu Ana waona, yupo mwanamke mwenzio nime msikia asubui nae kaitamaniWe nae, haturuhusiwi kuota siku hizi? Ndoto zinatimia ukiamka ukaifanyia kazi. Usipopata exactly utakaribiana na ukweli.
Mfano mi nishaanza kuota nyumba kama ya Billnas na mkewe, ila iwe ndogo ndogo!
Ayeee!
HhHajasema atakuwa tajiri namba moja duniani.Ameongelea ndoto muacheni aendelee kuota kinawakera nini?
Amelenga Jua ila kama akidondokea kwenye mwezi still sio mbaya.
Halafu hiyo ndoto, sasa unaanza kumponda mtu kisa ndoto yake,unaonekana ni mtu wa ajabu.
Huyo jamaa ana malori mengi balaa.Awadh namkumbuka akicheza tembo nzega,winga mahiri,leo kawa bilionea!
Kuna siku tajiri aliibiwa kofia akalia sana.Kama kweli ana nia ya utajiri, aanze kuonesha dalili.
- Endorsement (hivi mtu Kama Beyonce, Jayz, Kanye West ) huwa wanapokea endorsement za makampuni mengine. Kupokea endorsement mpaka ya jezi ni tafsiri ya njaa.
-- Media haiwezi kumpa huo utaniri maana inategemea zaidi UCHAWA na kupata pesa za serikali
+----+++
Matajiri wakubwa wako kwenye biashara za Teknolojia, nishati safi (mafuta yanakufa), uvumbuzi, anga za mbali etc.
Sasa Diamond ambaye hata mziki wake anategea kuuza YouTube, Spotify, Boomplay, Deezer tena kupitia madalali (aggregate) siyo moja kwa moja anawezaje kuwa tajiri wa kwanza hata East Africa tu???
Watoto wa 2000 wamezoea ile michezo ndege ikipita angani tunasema ile ya baba yangu.Watanipika kweli kweli leo
π π πMm nilijua ww ndio unamzidi.
All the best