Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

Mond itakua hajui $1B ikoje,sasa musk ana 150+,mo dewj 1.5, alifanikiwa kufika $2B atajua shughuli ya kumfikia dangote mwenye 13 achilia mbali musk, tatizo katokea umasikini wa kutupwa,alichonacho anaona kingi
Utajiri wa Musk unaohesabiwa ninule wa kwenye hisa za Tesla.

Lakini ana makampuni lundo ambayo hayako kwenye soko la hisa na hayahesabiwi

  • The boring company
  • Starlink
  • Space X
  • Neurallink
  • X (Twitter)
 
Kama kweli ana nia ya utajiri, aanze kuonesha dalili.

- Endorsement (hivi mtu Kama Beyonce, Jayz, Kanye West ) huwa wanapokea endorsement za makampuni mengine. Kupokea endorsement mpaka ya jezi ni tafsiri ya njaa.
-- Media haiwezi kumpa huo utaniri maana inategemea zaidi UCHAWA na kupata pesa za serikali

+----+++

Matajiri wakubwa wako kwenye biashara za Teknolojia, nishati safi (mafuta yanakufa), uvumbuzi, anga za mbali etc.

Sasa Diamond ambaye hata mziki wake anategea kuuza YouTube, Spotify, Boomplay, Deezer tena kupitia madalali (aggregate) siyo moja kwa moja anawezaje kuwa tajiri wa kwanza hata East Africa tu???
Beyonce na hao wenzie uliowataja wana endorsements kibao hadi za Sumsung na Pepsi.

Na huwezi kuufikia huo utajiri wa hao unaosema kama huwezi kuwekeza kwenye pesa yako ndogo kwa kusubiri mpaka pesa ziwe nyingi.

Hivi nani aliwaza kuwa huyu Diamond wa Mbagala na Nenda kamwambie angekuwa hapa alipo sasa ? Ni ndani ya miaka isiyopungua 10 amekuwa bilionea. He's just thirty something. Vipi Mungu akimpa uhai miaka 15 zaidi na akibaki kwenye malengo yake huoni hilo linawezekana?
 
Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.

Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.

Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.

Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.

Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.

Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Nigga una roho mbaya kichizi. wtf blood clot. Hivi unakaa kwa amani na majirani walokuzidi kipato?
 
Usijekuwa unaoongea hapa wakati bando umekopa na unadaiwa mkopo wa pesa x 20k
 
Kama kweli ana nia ya utajiri, aanze kuonesha dalili.

- Endorsement (hivi mtu Kama Beyonce, Jayz, Kanye West ) huwa wanapokea endorsement za makampuni mengine. Kupokea endorsement mpaka ya jezi ni tafsiri ya njaa.
-- Media haiwezi kumpa huo utaniri maana inategemea zaidi UCHAWA na kupata pesa za serikali

+----+++

Matajiri wakubwa wako kwenye biashara za Teknolojia, nishati safi (mafuta yanakufa), uvumbuzi, anga za mbali etc.

Sasa Diamond ambaye hata mziki wake anategea kuuza YouTube, Spotify, Boomplay, Deezer tena kupitia madalali (aggregate) siyo moja kwa moja anawezaje kuwa tajiri wa kwanza hata East Africa tu???
Kuna siku tajiri aliibiwa kofia akalia sana.
 
Back
Top Bottom