figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili msaidie.
Wenje anasema yeye ndo alimuunganisha na Lissu.
Watu wanajiuliza, Abdul si mwajiliwa wa Serikali, hana cheo chochote nchini. Alitaka kumsaidia kama nani?
Awali Tundu Lissu alidai alifukuza Abdul na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA(Wenje) ambao walienda kwake kumhonga ili apunguze kuongea. Kwamba walienda kumlainisha ili aache kuusumbua Utawala wa Rais Samia. Akawafukuza na kuwaambia wasikanyage kwake tena.
Wenje anagombea Umakamu mwenyekiti chadema Taifa.