minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Hata ushahidi wa mbowe kalewa konyagi Dodoma pia ushahidi wa wema sepetu na mboweMleta mada baadae nadhani atataka clip ya jiwe anapiga risasi Saanane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ushahidi wa mbowe kalewa konyagi Dodoma pia ushahidi wa wema sepetu na mboweMleta mada baadae nadhani atataka clip ya jiwe anapiga risasi Saanane
Walete ushahidi wa masimango ya mbowe kwa LisuMleta mada baadae nadhani atataka clip ya jiwe anapiga risasi Saanane
Duh wakiileta nipigwe mawe mchana kweupe.
Lissu ana tabia masingizio ya kijinga pasipo ushahidi akibanwa alete ushahidi atakwambia umeme wa TANESCO uliharibu vifaa vyote nyumbani.
Kitendo cha wenje kukubali kuwa alikwenda nyumbani kwa Lisu ni ushahidi tosha hakuna haja ya kuongeza kitu..Wenje si amekiri kwamba alikwenda na Abduli nyumbani kwa Lissu?
..mimi nadhani kwa hapa tulipofika Abduli naye ahojiwe aeleze kilichojiri kati yake, Wenje, na Lissu.
Yeriko banaDuh wakiileta nipigwe mawe mchana kweupe.
Lissu ana tabia masingizio ya kijinga pasipo ushahidi akibanwa alete ushahidi atakwambia umeme wa TANESCO uliharibu vifaa vyote nyumbani.
Lakini hoja za Lissu na Wenje katika tukio hilo ni tofauti kabisa...Wenje si amekiri kwamba alikwenda na Abduli nyumbani kwa Lissu?
..mimi nadhani kwa hapa tulipofika Abduli naye ahojiwe aeleze kilichojiri kati yake, Wenje, na Lissu.
Lakini hoja za Lissu na Wenje katika tukio hilo ni tofauti kabisa.
Ninavyomfahamu Lissu angekuwa na ushahidi huo angeshautoa siku nyingi sana.
Kwani uboga umeisha embu tumuulize uyo Lisu anapata wapi pesa za kuiweka family yake marekani tuanzie apo uboga usiishie kwa Abdur tu awa Mbowe na LISU wote nikama Malaya tu mbowe kapata Buzi mtz uyo Lisu yeye kapata BUZI la kizungu sasa Lisu anachofanya ni ulimbukeni wa Ushamba kwa kupata Buzi la kizungu sasa anamnanga mwenzie kukubali kupokea pesa za Madafu wakati yeye ni Shangingi la kulipwa dollar na Mabeberu. Anaona pesa za Abdur ni ndogo anadhizalau ingekuwa mke wake watoto wake wapo tz nayy anabuzi la kizungu ujue usingesikia kuusu pesa za Abdur anasomeshewa watoto wake family yake inatuzwa na mzungu sasa ndio anakuja kututambia ohhh pesa gani za Abdur mm nimemfukuza na vipesa vyake. Anadhani watz wapumbavu kama alivoyeye lopolopo amaungana na DkSlaa!!!! Uyu Dk slaa naye ukimpa tu ata ubalozi wa nyumba kumikumi kuna nini pale macho kwenye mchuzi mbowe alishamshtukia sasa kaona ajipiganie kupitia Lisu!!!! Lopolopo tim mikelele mingi kama washashindwa sijui wakishindwa watasema nini maneno yote wanasema sasa watubakishie maneno ya kusema baada ya kushindwa!!Wenje anatuona sisi ni maboga kama walivyo chawa wenzake. Hizo hela za Abdul lazima ziwatokee puani.Wanakula hela huku mama dula anazidi kuchinja watu.
I seriously doubt this!.
Duh...!.Pascal mayala keshashituka kawa mjanja hataki kusimama na Taarabu masimango ya mbowe hata pesa za mbowe ameziogopa baada ya kujua kumbe mbowe ni mwizi wa pesa za chadema
Mkewe Lissu ni mwanasheria na amepata ajira ya kudumu kwenye mashirika ya UN huko Brussels utafikiri atashindwa kuwatunza watoto wake wawili?Kwani uboga umeisha embu tumuulize uyo Lisu anapata wapi pesa za kuiweka family yake marekani tuanzie apo uboga usiishie kwa Abdur tu awa Mbowe na LISU wote nikama Malaya tu mbowe kapata Buzi mtz uyo Lisu yeye kapata BUZI la kizungu sasa Lisu anachofanya ni ulimbukeni wa Ushamba kwa kupata Buzi la kizungu sasa anamnanga mwenzie kukubali kupokea pesa za Madafu wakati yeye ni Shangingi la kulipwa dollar na Mabeberu. Anaona pesa za Abdur ni ndogo anadhizalau ingekuwa mke wake watoto wake wapo tz nayy anabuzi la kizungu ujue usingesikia kuusu pesa za Abdur anasomeshewa watoto wake family yake inatuzwa na mzungu sasa ndio anakuja kututambia ohhh pesa gani za Abdur mm nimemfukuza na vipesa vyake. Anadhani watz wapumbavu kama alivoyeye lopolopo amaungana na DkSlaa!!!! Uyu Dk slaa naye ukimpa tu ata ubalozi wa nyumba kumikumi kuna nini pale macho kwenye mchuzi mbowe alishamshtukia sasa kaona ajipiganie kupitia Lisu!!!! Lopolopo tim mikelele mingi kama washashindwa sijui wakishindwa watasema nini maneno yote wanasema sasa watubakishie maneno ya kusema baada ya kushindwa!!
Halafu utashangaa mjumbe wa mkutano Mkuu anapiga kura yake kwa mtu Kama wenje! Ambaye tayari ameshaonesha mashaka juu ya usafi wake.Abdul alikwenda kwa nafasi gani aliyonayo kwenda kuchukua hizo karatasi za Lissu?
Kuwa mtoto wa raisi napo ni wadhifa wa kuweza kushurtisha/kufuatilia malipo ya mtu?
Angekuwa na busara huyu Bw. Wenje ni bora angekaa kimya tu. Anajidhalilisha yeye na huyo Abdul wake.