Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

Pesa ya bure ipo kwa mbowe kaweka uchoyo ubinafsi wake pembeni ukienda na mbinu ya kumdhoofisha Lisu tu unapewa pesa hata kama hiyo mbinu ni feki yeye anatoa pesa kwa yeyote anayeonyesha nia ishara ya kumhujumu kumdhoofisha lisu, chawa kuleni pesa za mbowe lakini kwenye sanduku la kura chagua lisu aje kumaliza wizi na udikteta rushwa ya ngono chadema
 
Duh wakiileta nipigwe mawe mchana kweupe.
Lissu ana tabia masingizio ya kijinga pasipo ushahidi akibanwa alete ushahidi atakwambia umeme wa TANESCO uliharibu vifaa vyote nyumbani.

..Wenje si amekiri kwamba alikwenda na Abduli nyumbani kwa Lissu?

..mimi nadhani kwa hapa tulipofika Abduli naye ahojiwe aeleze kilichojiri kati yake, Wenje, na Lissu.
 
Kitendo cha wenje kukubali kuwa alikwenda nyumbani kwa Lisu ni ushahidi tosha hakuna haja ya kuongeza kitu
 
Chawa wa mbowe leteni ushahidi wa masimango ya mbowe kwa lisu
 
Duh wakiileta nipigwe mawe mchana kweupe.
Lissu ana tabia masingizio ya kijinga pasipo ushahidi akibanwa alete ushahidi atakwambia umeme wa TANESCO uliharibu vifaa vyote nyumbani.
Yeriko bana
 
..Wenje si amekiri kwamba alikwenda na Abduli nyumbani kwa Lissu?

..mimi nadhani kwa hapa tulipofika Abduli naye ahojiwe aeleze kilichojiri kati yake, Wenje, na Lissu.
Lakini hoja za Lissu na Wenje katika tukio hilo ni tofauti kabisa.

Ninavyomfahamu Lissu angekuwa na ushahidi huo angeshautoa siku nyingi sana.
 
..Abdul angezungumza tungejua ukweli wote.

..Watanzania tunachezewa sana na hawa wanasiasa.

..ukiona Ccm wanahonga wapinzani ujue na wao pia wamehongwa pakubwa zaidi, wameuza rasilimali za nchi, au wamefisadi fedha za umma.
 
Wenje anatuona sisi ni maboga kama walivyo chawa wenzake. Hizo hela za Abdul lazima ziwatokee puani.Wanakula hela huku mama dula anazidi kuchinja watu.
Kwani uboga umeisha embu tumuulize uyo Lisu anapata wapi pesa za kuiweka family yake marekani tuanzie apo uboga usiishie kwa Abdur tu awa Mbowe na LISU wote nikama Malaya tu mbowe kapata Buzi mtz uyo Lisu yeye kapata BUZI la kizungu sasa Lisu anachofanya ni ulimbukeni wa Ushamba kwa kupata Buzi la kizungu sasa anamnanga mwenzie kukubali kupokea pesa za Madafu wakati yeye ni Shangingi la kulipwa dollar na Mabeberu. Anaona pesa za Abdur ni ndogo anadhizalau ingekuwa mke wake watoto wake wapo tz nayy anabuzi la kizungu ujue usingesikia kuusu pesa za Abdur anasomeshewa watoto wake family yake inatuzwa na mzungu sasa ndio anakuja kututambia ohhh pesa gani za Abdur mm nimemfukuza na vipesa vyake. Anadhani watz wapumbavu kama alivoyeye lopolopo amaungana na DkSlaa!!!! Uyu Dk slaa naye ukimpa tu ata ubalozi wa nyumba kumikumi kuna nini pale macho kwenye mchuzi mbowe alishamshtukia sasa kaona ajipiganie kupitia Lisu!!!! Lopolopo tim mikelele mingi kama washashindwa sijui wakishindwa watasema nini maneno yote wanasema sasa watubakishie maneno ya kusema baada ya kushindwa!!
 
Mkewe Lissu ni mwanasheria na amepata ajira ya kudumu kwenye mashirika ya UN huko Brussels utafikiri atashindwa kuwatunza watoto wake wawili?
 
Abdul alikwenda kwa nafasi gani aliyonayo kwenda kuchukua hizo karatasi za Lissu?

Kuwa mtoto wa raisi napo ni wadhifa wa kuweza kushurtisha/kufuatilia malipo ya mtu?

Angekuwa na busara huyu Bw. Wenje ni bora angekaa kimya tu. Anajidhalilisha yeye na huyo Abdul wake.
Halafu utashangaa mjumbe wa mkutano Mkuu anapiga kura yake kwa mtu Kama wenje! Ambaye tayari ameshaonesha mashaka juu ya usafi wake.
 
Back
Top Bottom