MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
Your browser is not able to display this video.
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili msaidie.
Wenje anasema yeye ndo alimuunganisha na Lissu.
Watu wanajiuliza, Abdul si mwajiliwa wa Serikali, hana cheo chochote nchini. Alitaka kumsaidia kama nani?

Awali Tundu Lissu alidai alifukuza Abdul na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA(Wenje) ambao walienda kwake kumhonga ili apunguze kuongea. Kwamba walienda kumlainisha ili aache kuusumbua Utawala wa Rais Samia. Akawafukuza na kuwaambia wasikanyage kwake tena.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. View attachment 3181601

Wenje anatuona sisi ni maboga kama walivyo chawa wenzake. Hizo hela za Abdul lazima ziwatokee puani.Wanakula hela huku mama dula anazidi kuchinja watu.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. View attachment 3181601
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili msaidie.
Wenje anasema yeye ndo alimuunganisha na Lissu.
Watu wanajiuliza, Abdul si mwajiliwa wa Serikali, hana cheo chochote nchini. Alitaka kumsaidia kama nani?
Awali Tundu Lissu alidai alifukuza Abdul na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA(Wenje) ambao walienda kwake kumhonga ili apunguze kuongea. Kwamba walienda kumlainisha ili aache kuusumbua Utawala wa Rais Samia. Akawafukuza na kuwaambia wasikanyage kwake tena.
Yaani aibu kubwa kwa Wenje Bora Wenje angechuchumaa akaikwepa aibu hii ...
.ona sasa tuliokuwa nyumba yake tunaona aibu yeye walaaa!
Pesa Pesa Pesa, kweli MTU kama Wenje akakubali kubeba zigo haramu mpaka tiii sebuleni kwa mnyampaa?
Kuna mkabila nchi hii kumfikia mchaga? Hilo ndo kabila linaloongoza kwa ubaguzi tena wa waziwazi na sisi Watanzania haitatokea kamwe kumchagua Mchaga kuwa Kiongozi wa nchi hii. Uko sahihi
Yaani aibu kubwa kwa Wenje Bora Wenje angechuchumaa akaikwepa aibu hii ...
.ona sasa tuliokuwa nyumba yake tunaona aibu yeye walaaa!
Pesa Pesa Pesa, kweli MTU kama Wenje akakubali kubeba zigo haramu mpaka tiii sebuleni kwa mnyampaa?
Mnakaa Mnawaza Kuna Upinzani wakuiondoa CCM kweli?
Hawa Wapuuzi na Mapandikizi Vijana Bado Mnasafari Ndefu sana kwa kuwategemea hawa watu!
CCM imechokwa Tanzania lakin Nani Mbadala Wake?