Tendeni haki
Member
- Sep 5, 2024
- 67
- 114
Hakuna mtu huzaliwa na kitambi mkuu.2.Maumbjle ya mtu
Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya Ubinafsi huku asilimia baki chache ni sababu za kimaumbile
Mwezi umetoka? Naona muda wa kuandika point umeisha, nakushusha 10%Mtu mwenye kitambi ni baraka hasa kwa wadada, hata ukienda bank ukipanga foleni akija mwenye kitambi utasikia kijana sogea pembeni muheshimiwa apite.
Unakosea sana. mada zingine kwa jinsi zilivyo jiweka, inakubidi nawe uendane tu na upepo halisi, huwezi kutumia nguvu kubwa kutafuna chapati, wakati unajua nyama bado zipo jikoni.Mwezi umetoka? Naona muda wa kuandika point umeisha, nakushusha 10%
Uzi unawahusu wanaume š¹š¹Mkuu huu uzi uwaguse wanawake wote humu jf
Ila kusema kweli kuwa fit ni kazi hasa kwenye 30+ kuleKitendo cha kuwa na kitambi ni tafsiri fupi ya uzembe na kula hovyo hovyo, hasa kwa jinsia ya kiume
Ila kusema kweli kuwa fit ni kazi hasa kwenye 30+ kule
Mimi nakula na kunywa hovyo ila kitambi sikipatiš¤£Ni kazi kucontrol unachokula ama mazoezi?
Binafsi mtu akisema mazoezi ni ngumu kufanya namuelewa kuliko mtu anayekula kula hovyo
Wapo watu wa hivyo piaMimi nakula na kunywa hovyo ila kitambi sikipatiš¤£
Nafikiri ni lifestyle tu la kibongo mtu yupo tayari zaidi akale choma kilo na bia kula achemshe viazi vitamu atulie.Ni kazi kucontrol unachokula ama mazoezi?
Binafsi mtu akisema mazoezi ni ngumu kufanya namuelewa kuliko mtu anayekula kula hovyo
KweliWapo watu wa hivyo pia
Nafikiri ni lifestyle tu la kibongo mtu yupo tayari zaidi akale choma kilo na bia kula achemshe viazi vitamu atulie.