min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Nakuona tu ,za mida lakiniSijambooo
Nakuona tu ,za mida lakiniSijambooo
NzuriiNakuna tu ,za mida lakini
Nachapia hatariNzurii
Na vitambi vya wanawake?Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake
Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu
1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi
2.MaumbIle ya mtu
Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya Ubinafsi huku asilimia baki chache ni sababu za kimaumbile
Wewe punguza wivu ,wenzio usiku huu wamepandana ili kuleta watoto wewe upo kuponda visivyokuhusuFahamu kitambi, maana yake,na sababh zake
Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu
1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi
2.MaumbIle ya mtu
Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya Ubinafsi huku asilimia baki chache ni sababu za kimaumbile
Pole babe hujaumia vidole🌝Nachapia hatari
Hivi vikiumia itakuaje🤔Pole babe hujaumia vidole🌝
Ila ukifanya mazoezi ulaji unaongezeka sana pia!Ulafi
Mtu anakula kama hatakula tena
Hivi vikiumia itakuaje🤔
Ngoja tuone itakuajeNami nawaza kwakweli..
Ila ukifanya mazoezi ulaji unaongezeka sana pia!
now nakula mno...
Mkuu rusha picha yako kuanzia shingoni kurudi chini tukutathimini.Hua nacheka sana nikiona mtu ana kitambi na matako makubwa. Anakua kama papai liloanguka kwenye jiwe.
Mimi nakula kulingana na tumbo linataka nini! Maana hata tuwe makini vipi na vyakula! Still tutakufa tu mkuuKula healthy
Mimi nakula kulingana na tumbo linataka nini! Maana hata tuwe makini vipi na vyakula! Still tutakufa tu mkuu
Oooh! Nishapiga vyombo nachanganya madesa..ok sawa madame Jo!Mada sio kuhusu kifo
Lecture❌️ Lecturer ✅️Hakuna mtu huzaliwa na kitambi mkuu.
Nadhani lecture wako anatakiwa ajihudhuru mara moja
Maumbile au insulin resistance ishaingia mwilini na kusababisha kitambi baadae kisukari kinabamba2.MaumbIle ya mtu
Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya Ubinafsi huku asilimia baki chache ni sababu za kimaumbile
Hivi mnataka minyoo wakale wapi?1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi
Kuna wenzio hawajui kwamba kitambi kinakaribisha kisukariMaumbile au insulin resistance ishaingia mwilini na kusababisha kitambi baadae kisukari kinabamba