Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Yeah, ndiyo tunaiagaaga dunia hivyo!Ndio tunakimbilia kufa hivyo mzee babaš
Yeah, ndiyo tunaiagaaga dunia hivyo!Ndio tunakimbilia kufa hivyo mzee babaš
Mbona kama unamakasiriko??? Kwani wewe ni mmoja wao??Mkuu rusha picha yako kuanzia shingoni kurudi chini tukutathimini.
Waweza jiona ni mwembamba, lakini kwa kukuangalia tu naweza kubaini kama una siha ya unene au lah.