Fahamu haya kuhusu vitambi, sababu zake na namuna ya kushinda

Nakula tu chakula cha kawaida mkuu, cement nisingekua hai bwashee 😅
Hata mimi nilivyokua nakua umri wa gen z sikuwahi kuongezeka mwili ila baada ya kufika fourty naona ukila hovyo bila mazoezi napata kakitambi kama cha mvuvi unakua kama umekosa lishe bora hivi sasa ili niende sawa napunguza lishe na mazoezi kama Jozi hapa mboga ya mtu mmoja ni nusu kuku au mzima..
 
Mimi 40 bado mwaka mmoja tu🤣🤣
 
Ndio tunakimbilia kufa hivyo mzee baba😄
Yap ni muda wa kukaa sana na watoto kuwapa maarifa ya maisha mimi muda mwingi huwa naamua kupumzika tu nikiwa Tanzania na kukaa muda mwingi na familia maana tuna muda mchache sana wa kuwa na familia..usijifanye upo busy kila siku sio sawa..
 
Hakika mkuu
 
Back
Top Bottom