Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,518 Reaction score 20,492 Feb 7, 2026 #61 min -me said: Ndio tunakimbilia kufa hivyo mzee baba😄 Click to expand... Yeah, ndiyo tunaiagaaga dunia hivyo!
min -me said: Ndio tunakimbilia kufa hivyo mzee baba😄 Click to expand... Yeah, ndiyo tunaiagaaga dunia hivyo!
wolverineGG JF-Expert Member Joined Feb 13, 2025 Posts 1,968 Reaction score 3,680 Feb 7, 2026 #62 Sakasaka Mao said: Mkuu rusha picha yako kuanzia shingoni kurudi chini tukutathimini. Waweza jiona ni mwembamba, lakini kwa kukuangalia tu naweza kubaini kama una siha ya unene au lah. Click to expand... Mbona kama unamakasiriko??? Kwani wewe ni mmoja wao??
Sakasaka Mao said: Mkuu rusha picha yako kuanzia shingoni kurudi chini tukutathimini. Waweza jiona ni mwembamba, lakini kwa kukuangalia tu naweza kubaini kama una siha ya unene au lah. Click to expand... Mbona kama unamakasiriko??? Kwani wewe ni mmoja wao??