Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Sio wazungu tu hata vibaraka wao, mfano Chadema, Zitto, Fatma Karume na Maria Sarungi wanaombea sana Watanzania wafe (utafikiri wao hawatakufa).Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Mimi nipo hapa Nizhny Novgorod - Russia,lakini nina watu 7 ninaowajua huko nyumbani waliokufa kwa "changamoto ya upumuaji". Wanne ni majirani zangu Dodoma,Dar na KLM.Mkuu ukiacha mkumbo na akili ndogo
Mtaani kwenu wewe kuna vifo vingapi vya kudhani ni corona, mtaani kwako wewe, sio mitandaonj
Tatizo letu takwimu hazijakaa sawa.hatujui wanaoumwa ni wangapi, waliopona wangapi na waliokufa wangapi.na haitangazwi.Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Nchi yako inatoa data au unashupalia nchi zingine,na huku humu ndani ambulance zinapishana kila dakikaHalafu wazungu wa ajabu sana, wakizungumzia corona kwa Afrika wanatoa data za Afrika nzima badsla ya nchi moja moja maana wanaona wivu na aibu kuwa maambukizi kwa nchi moja moja na vifo viko chini sana kinyume na matazamio yao!!
Kwa Tanzania pekee vifo vya Corona vinapindukia 300 mpaka sasa. Yani hii Corona inatofautisha kati ya vijitaifa vya kisanii dhidi ya nchi zilizoundwa zikawa nchi kweli.Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
ACha kuwa mjingaMaambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
600Kwa Tanzania pekee vifo vya Corona vinapindukia 300 mpaka sasa. Yani hii Corona inatofautisha kati ya vijitaifa vya kisanii dhidi ya nchi zilizoundwa zikawa nchi kweli.
Inawezekana si nchi zote zinaficha takwimu ila tuko nyuma sana kwenye kiwango cha wanaopimwa. Inawezekana tatizo likawa kubwa kuliko inavyoripotiwa, wenzetu hata mafua wanakimbilia hospitali, sisi mafua ni kawaida mpaka unazidiwa unafia nyumbani au unapelekwa hospitali ukiwa umechelewa.Basi kama ni kweli Afrika nzima inaficha takwimu,basi tukubali hakuna bara lenye bahati mbaya kuzaliwa kama Afrika,au siyo ?
Mimi naongelea njia za kisayansi wewe unaniletea story za mtaani kwetu.
No wonder kwny ile thread nyingine mmesema sababu hakuna vifo vya bodaboda mtaani kwenu basi Covid haipo.
Ndio think tanker wetu hao.
Sisi hatupimi, madereva 18 waliotoka Dar es Salaam wamekutwa na Corona Zambia. Hiyo ni sample kubwa sana ya tatizo tulillo nalo. Watakuwa wamewaambukiza wangapi kwa takribani Kilometa 1000 na zaidi toka Dar es Salaam? Hatuna data then tunajilinganisha na wenzetu na muda tangu ugonjwa uingie hatufanani nao.Siyo fair hata kidogo kulinganisha data za sehemu hizo mbili, hizi data za kina umy mwalimu siyo za kutegemewa.
LOoo, haya basi, "akili ndogo" ya mtandaoni, huku mwenyekuulizwa atoe takwimu za kijijini kwao yupo kwenye mtandao! Bila shaka naye akiwa "akili ndogo"!
Tuanze kwa kuhesabu kuna mitaa mingapi Tanzania. Tutafute watu wa kutoa taarifa kila mtaa pametokea vifo vingapi katika wakati maalum.
Na ili tuweze kupata taarifa hizi ni lazima tutafute ruhusa toka ofisi kadhaa za serikali.
Ndio maana watu wenye akili kubwa hawapo mitandaoni!
Marekani mpk 08/may/2020 imeshapima watu 8.3mil,hebu tuwekee hapa Bongo pekee yake so far imepima watu wangapi ili tujumlishe na nchi zilizobaki za Africa mkuu.
hata marekani ni bara zima si nchi moja moja. usawa wa marekani, Russia nk ni mwendo wa bara zima sio huku Rwanda na Burundi nazo ni nchi wakati zilitakiwa kuwa mkoa mmoja tu wa Tanzania.Halafu wazungu wa ajabu sana, wakizungumzia corona kwa Afrika wanatoa data za Afrika nzima badsla ya nchi moja moja maana wanaona wivu na aibu kuwa maambukizi kwa nchi moja moja na vifo viko chini sana kinyume na matazamio yao!!
Alikuwa na matatizo ya moyo pumzi zikabana akafa atazikwa na watu wasiozidi kumiMaajabu zaidi Tanzania wanaokufa kwa COVID-19 tunaopata taarifa zao kwenye habari ni "WAFANYAKAZI WA UMMA, NGAZI ZA JUU TU".
Wana wana habari wana misamiati yao hivi ameizing ya kufikisha ujumbe, kama vile "AMEUGUA KWA MUDA MFUPI" au "ALIBANWA NA KIFUA CHA GHAFLA TU". Raia tunajua "ENHE KUMEKUCHA".