Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Aisee kumbe, nimejifunza kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei kiasi gani mkuuAnayetaka kuuziwa line wa wakala tigopesa anitafute
Unataka ukuwe wakala au....?Naomba mnisaidie naitaji kufungua m-pesa ila sijui faida yake inapatikanaje,pia kunahatua gan hadi uweze kufungua
Ndio wakalaUnataka ukuwe wakala au....?
Mkuu nimenyoosha mikono juu saluti kumi bora hukosekan, unachezea moja mara chache 2,3,4 afu haukeriZinalipa ndio...
Kwani anaefanya hiyo kazi ni mfanyabiashara au mjasiriamali??
Pamoja sana mkuuMkuu nimenyoosha mikono juu saluti kumi bora hukosekan, unachezea moja mara chache 2,3,4 afu haukeri