Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

nimekuwa nikipitia mawazo yenu wadau, mna good ideas na imenifungua sana kwasababu nilikua na idae ya kufungua mpesa lakini now nimeona for surplus i have broad the business
 
guys nina swali anaelewa fresh naomba anifafanulie vizuri, ukitaka kuanzisha association ili kuwa member wa ICN[ international council of nurses], unafata process gani sababu nimestuck plz mwenye anelewa huo mchongo naomba anielezee
 
Naomba mnisaidie naitaji kufungua m-pesa ila sijui faida yake inapatikanaje,pia kunahatua gan hadi uweze kufungua
 
Ungeenda kwenye office zao ambazo zipo karibu na wewe ungepata maelezo fasaha kabisa.
 
Habarini wakuu


Hivi kuna kuna tofauti gani katika utendaj kaz na kamisheni zake kati ya huduma ya MAXMALIPO na ile application ya SMARTMALIPO iliyopo playSTORE ?



Ni kampuni halali hii SMARTMALIPO?


Je endapo kuna tatizo la kipesa na kimtandao nani wakumpigia simu akupe maelezo VODA..TIGO..AIRTEL au wenyewe hawa SMARTMALIPO nisiowafahamu.



Kama ni kampuni halali ofis zao ziko wapi hats matawi yao?


Asanteni.
 
Wanajamii,

Naombeni msaada jinsi ya kuanzisha kibanda cha Tigo pesa na mitandao mingine na kuuza umeme wa Luku.

Kwa maelezo ya kwanza niliopewa, nimeambiwa natakiwa niwe na line ya mtandao husika na mashine ya Sellcom au Maxmalipo.

Pia nimeambiwa ili kupata vyote hvyo nahitajika niwe na Tin No na Lesen.

Tin No nimeambiwa hadi TRA...
Sasa naomba kufahamisha mashart na vigezo jinsi ya kupata hvyo vitu (lessen na Tin namba) na gharama zake. Je na lessen ntaipatia wapi?

Pia jinsi faida inavyopatikana katka hii biashara na niwe na mtaji angalau kuanzia kiasi gan!

Naombeni michango yenu wadau!
 
Ninataka kuuliza biashara hizi za mitandao yaani kifedha MF Mpesa, Tigo pesa, halopesa, na Selcom, Maxmalipo. Zoote hizi zinalipa na kutoa faida ya kutosha kama mjasiriamali?

Naomba ushauri kwenu wana JF,
Naomba kuwasilisha.
 
Habari za mda huu wadau wa jf
Naomba mnijuze masharti na mshitaji ya kuwa wakala wa mpesa tigo na airtel money

Shukrani
 
Back
Top Bottom