Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

Mwakanyamale?
Mwakipesile?
Mwakalikamo?
Mwakareli?
Gwamaka?
Gwandumi?
Asajile?
 
Umejitahidi kutuelimisha ila hapo kwa Andolile umekosea,hiyo maanayake ni amenishinda,ukitaka neno linalo maanisha amenitafuta,ni Andondile,halafu unamakosa machache ya spelling,mfano Mwalugano inatKiwA iwe Gwalugano,kwa ujumla nakupa big up sana!
 
Asante sana
 
Hakuna kabila lenye majina yenye maana nzuri kama wanyakyusa, sidhani kama utakutana na jina la kinyakyusa lenye maana ya mateso,shida au tabu
Upo sawa kabisa,hayo ni majina yenye kumtaja MUNGU,mfano Anyosisye ikiwa na maana kwamba MUNGU amemuosha yaani ameoshwa na MUNGU dhambi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…