IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Ta
Tatizo kubwa ni mawasiliano ya hiyo bodi ya korosho na jinsi ya kuandaa shamba.Mbegu huwa inagawanywa bure na bodi ya korosho baada ya kukuzwa na watu mbalimbali walioteuliwa. Kwa kawaida itaanza kugawanywa kati ya oktoba na desemba.
Muhimu ni kuandaa shamba na kutoa taarifa ya idadi ya mikorosho utakayohitaji toka bodi ya korosho.