Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koroshi zimedoda!!
Kilimo cha Tanzania tatizo hakieleweki inabidi kujilipua tu hivo hivo, mfano mzuri mwaka jana na mwaka huu nasikia bei ya korosho ni nzuri, week ilopita kwenye mnada kilo imefika Tsh 3850, mtu unaweza fanya investment ukitegemea bei itakuwa nzuri mwisho wa siku unaweza shangaa bei imefika 1000 tuki refer kwa yaliyowatokea watu wa mbaazi, kilimo kwa nchini kwetu ni kujilipua tu. Nimepita Lindi huku karibia wilaya zote aise wale waliopanda Mbaazi wakitegemea soko zuri wengi wameziacha shambani bila kuvuna sababu ya price kubadilika.Koroshi zimedoda!!
Zimedoda wapi?Koroshi zimedoda!!
Nenda kunako mikoa ya kusini.zimedoda wapi?
Unajua bei ya msimu huu ya raw cashe ni tzs 1.450 na mnada wa kwanza ijumaa iliyopita kilo imeuzwa 5.000 unajua hilo?Nenda kunako mikoa ya kusini
Punguza maswali tupia data. Tumia direct speech (ni ushauri tu)Unajua bei ya msimu huu ya raw cashe ni tzs 1.450 na mnada wa kwanza ijumaa iliyopita kilo imeuzwa 5.000 unajua hilo?
Unajua ubora wa cashew ya Tanzania?
Ndio hivyo sasa, usiseme zimedoda tu wakati msimu ndio umeanzaPunguza maswali tupia data. Tumia direct speech.
(ni ushauri tu)
Nisingependa kuwaharibia wajasiriamali biashara zao, ndio maana nachele kusema imedoda! Hukawii kusikia matamko kutoka kwa wakuu wa wilaya.Ndio hivyo sasa, usiseme zimedoda tu wakati msimu ndio umeanza
Usimuamshe aliyelala mkuu. (Huu msemo ni wa kibinafsi ila kwa huyo wacha tu utumike)Zimedoda wapi?
5000 hakuna boss Ilikuwa 3859. Sehemu zingine 3875 Ila siyo mbayaUnajua bei ya msimu huu ya raw cashe ni tzs 1.450 na mnada wa kwanza ijumaa iliyopita kilo imeuzwa 5.000 unajua hilo?
Unajua ubora wa cashew ya Tanzania?
Zilizo tayari kuliwa kg1 wanauza sh. ngapi? kwa mikoa ya kusini.5000 hakuna boss
Ilikuwa 3859
Sehemu zingine 3875
Ila siyo mbaya
Unamaanisha za kukaangwa/kuchomwa?Zilizo tayari kuliwa kg1 wanauza sh.ngapi? kwa mikoa ya kusini
Ok, nilimaanisha zilizochomwa/kukaangwa.Unamaanisha za kukaangwa/kuchomwa?
Mpaka Jana korosho zenye ganda/korosho ghafi
3940/3980
Za kuchomwa/kukaangwa sijui mkuu
Acha ubishi korosho mwaka Jana imeuzwa 4500 Mwaka Huu imepanda5000 hakuna boss
Ilikuwa 3859
Sehemu zingine 3875
Ila siyo mbaya